Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
YesPhD gani anaandika hivi [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesPhD gani anaandika hivi [emoji848]
Mke wa mtu hana alama. Anaweza kukudanganya lakini mwenyewe akili timamu akishagundua ni mke wa mtu huacha kutembea naye. Utakuta mtu anajua kuwa yule ni mke wa mtu lakini anatembea naye. Hiyo ni mbaya sanaNilimla mke wa mtu kizalzal tu mwaka wa kwanza, first semista yote nmemla, kanipikia, kanifulia na kalala Sana geto.
Siku moja nligundua jina analotumia chuo si jina lake halisi, nilipomsach fb kwa jina lake, nakuta mapicha ya harus na mmewe na picha za mtoto wao anamiaka mitatu
Wanawake bwana aliniambia ye n singo maza, Kuna jamaa alimzalisha akakataa mimba.
Nliamua kumbwaga japo alinisumbua Sana. Hawa viumbe bana waajab sana
[emoji16]Thesis uliiandika kweli?
HahahahahUZI UMEJAA WAPISHI WA CHAI WASIOWEKA SUKARI
Uasi na roho mbaya ilianza pale binadamu alivyoacha kufuata amri za Mungu na kuanza kufuata matendo yanayompendeza yeye. Ukishafikisha umri wa miaka 18 unaruhusiwa kuoa ila haujaruhusiwa uanze kufanya uzinzi. Ndiyo maana kuna ndoa ili mtu akishindwa kujizuia aoe au aolewe.sasa huono utaumiza watu,maana kuna wanawake wwngine anakwambia mm si mke wa mtu au tumeachana au vile hawi muwazi;baharia unajiachia ngoma tunduni mzigo D unang'ang'ania.
Mkuu kula tu
Mkuu unaonekana kuwa na machungu sana, ututambulishe tu shemej mana kuwa hanithi umri huu hata miaka 30 badoo ni sawa na kuondoka kwenye sherehe ya usiku ya kukesha saa 3 usikuNajua unatembea sana na wanawake za watu ndiyo maana unaona uchungu sana kupigwa paipu kwa ajili ya matibabu. Ila kumbuka baadhi ya wanaume wake zao hawachukuliwi na wao wanawake wanalijua hilo. Tembea na mke wa mwanajeshi, hakimu, mkuu wa mkoa, waziri au polisi halafu uje utoe mrejesho. Kuna watu wamebambikiwa kesi na wamefungwa gerezani na hawajui watatoka lini gerezani kwa kutembea na wake za watu. Kuna wengine wameshakuwa vilema na wengine wamekufa kwa kutembea na wake za watu.
Ukisikia mke wa mtu ujue hiyo ni mali ya mtu ni sawa na kuiba mbuzi au simu kwa jamaa kwahiyo kuwa hai inatokana na huruma ya jamaa. Kama unafikiri mke wa mtu ni wa wote, nenda kwa mwanajeshi wa jirani yako halafu anza kumtania mke wake, mke wangu halafu uone kitakachokutokea.
CHA MTU MAVI
Jamaa ana mkwara sana na inaonekana ni muhanga, mi bado kisamvu changu nakipenda mana ndo bikra niliyobakiza mdomaa usha ongea ya hovyoo mnooUnatutisha au? kuna waha wamechanjwa hadi kweny mkuyenge hzo dawa zako hazina maana
Mbona wa watu unakula
Hahahaa walio oa wana kazi sanaaKuna mke wa mtu kapanga home....
Kaniambia nikiwa tayari nimwambie.....
Nikimcheki mmewe basi naona hurumaa.....
Mkuu naomba utusimulie kisa chako mana inaonekana una jambo tena sio dogooMbona yule aliyeng'ang'ania akiwa na mke wa mtu. Kwanini alishindwa kujitoa? Uzi upo humu humu JF utafute usome. Usijekujifariji sana kwamba kwa dawa haziwezi. Unaweza kutekwa na watu wasiojulikana halafu wakakuta upo kwenye kiroba unaelea baharini.
Kuwa makini unatembea na mke wa mtu. Utawaonea wanyonge wenzako ila wale ambao siyo wanyonge watakufanyia kitu mbaya.
Kabisa, kama huyu Pastor.Kwahiyo unataka useme wachungaji wanakula viboga?
Mchungaji akikushika na mke wake ni tofauti na raia wa kawaida
Hahahaaa hii hatariiKuna nesi mmoja hapa ila anamchumba yuko mbali, so nadhani upweke ndo umesababisha,, mda mwingine anaeudi night hakuna wa kumfungulia geti,, [emoji28]
Teh teh wapangaji wote mle ndani watu wa mishe mishe, kuonana usiku huko[emoji28]
Basi utaniutani hatimaye ameelekea kibra,, nimechinja kuku wa kizungu hana hata damu,,[emoji40]
Yanii mkuu achaa kabsaa, mwaka huu nipo na demu wang kwenye mkesha wa mwenge, akanikomalia tukapime, basi kishingo upandee nikaenda kufika banda la kupimia tukaambiwa washafunga ilikuwa sa 5 iv ucku, nilifurah utafikir nishapimaa tayar [emoji1787]Kapìme kisha majibu vyovyote yatakavyokuwa waambie huyataki. Wayatumie kwa shughuli za takwimu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]W
Wa vyuo vingine wanaanza tarehe 21,saa hz kama demu wako kaaga anaenda kufuatilia vitu flani chuoni,jua atapewa kampani na msela,watalala wote hadi wamalize pepa,na ikiwezekana watashauriana wapange rum kama ni continuing students.
Volume haitoshi ongeza kdgoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mgongo wake ulinichanganya,kumtupia ndoana akawa mkali lkn nikakomaa naye mpaka akakubali yaishe akaliwa,nilimpiga chini baada ya kuniambia nimle ndogo,bado kidogo nimuitie polisi wamkamate.
Nalog off
Msamehee tu, na ww si ushakula mke wa jamaaStory ni ndefu but in short...yupo jamaa flan alikuwa anamsumbua dem wangu kwa muda mrefu na nilimkanya sana ila siku moja nikabaini ametembea na dem wang na kwa bahati mbaya au nzuri jamaa alikuwa kaoa na mke wake aligundua.. Nikachukua muda kidogo siku moja nikakuta mke wa jamaa anachat na dem wanguu na wanajibizana na mimi apo apo nikachukua namba ya huyo mke wa jamaa nikamtafuta tukawasiliana kwa muda kama mwezi badae mke wa jamaa alibadilika na akawa anaforce tuonane sana aise nilijikuta nakula kila ninapohitaji na muda mwingine ananisumbua yeye kibaya zaidi alikuwa na mtoto mdogo tuu.....ila mpaka sasa sijui dem wangu nimfanye nin na yule jamaa nilimfata na kumchana na ushahidi nikampa aise aliumia nahisi hakuamini kua ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga...ombi langu kwenu je uyu demu wangu nimfanyie nin??
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.