Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Bro waruguru hapana nadhani ww unawasemea wapogoro.
Wapogoro wale unawavuta mkono tu wanakufuata uendako ht kuwaf*r* barida wao wanakuja.
Wanyamwezi nao inategemea sio km warangi.
Hayo mengine sina experience nayo ila warangi maaninnaaaaa dem mmoja anaweza kupita na ninyi kundi nzima mkija kushtuka mshapitiwa sio poa wale.
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.

kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
 
Mwezi uliopita nilikuwa mwanza katika matembezi nikakutana na mmama anatembeza karanga za kuchemsha alikuwa ni mjaluo ana mzigo sanchoka akasome afu mweusi,nilimpita nikampa salamu ila nilipofika mbele ikabidi nigeuke alipofika mbali kidogo nilirudi nikaanza mfatilia nyuma nyuma kuanzia mitaa ya Ghana hadi karibu na nera zilipo ofisi za halmashauri,wakazi wa mwanza watakuwa wanapafahamu. Nilipomfikia nikaanza kuzuga na stori na hakuonesha kushoboka wala nini, ikabidi niingie na gia ya kununua karanga zote.kufupisha stori alinipa namba kwa sharti la kutompigia kuanzia saa 12 jioni kwani mumewe anakuwepo. Kesho yake nilimpanga tukaonana mitaa ya kilimahewa akaingia gesti na karanga zake nikala mzigo.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Umeshaondoka mwanza?
 
Nilimla mke wa mtu kizalzal tu mwaka wa kwanza, first semista yote nmemla, kanipikia, kanifulia na kalala Sana geto.

Siku moja nligundua jina analotumia chuo si jina lake halisi, nilipomsach fb kwa jina lake, nakuta mapicha ya harus na mmewe na picha za mtoto wao anamiaka mitatu

Wanawake bwana aliniambia ye n singo maza, Kuna jamaa alimzalisha akakataa mimba.

Nliamua kumbwaga japo alinisumbua Sana. Hawa viumbe bana waajab sana
Wee zoba kweli
 
I was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
Duuuh kwa hiki kingereza ulichoandika hapa hao Ma Prof wa Texas waliweza kuelewa Thesis yako ya PHD???[emoji23]

Anyway i hope u successfully completed ur PHD studies in Texas and ur a Doctor huko ulipo
 
Volume haitoshi ongeza kdgoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20190821_210911.jpg

Nalog off
 
Attachments

  • IMG_20190821_210911.jpg
    IMG_20190821_210911.jpg
    10.1 KB · Views: 13
Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Hujui wajanja walitegua siku nyingi sana?
Watu wanakutafunia siku saba kwa week.
 
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.

kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
Kiongozi, unataka kula peke yako? Mkeo huyo?
 
Nilitaka nivunge ila acha niseme, kuna UEFA ya mwaka juz walikuwa wanacheza juve na madrid, sasa nilikuwa kijijin kwetu.
Kuna mke wa jamaa mmoja niliwahig kumvua chup kitambo 2010 huko wakat tunamaliza form 4, sasa ilikuwaga kwenye mahind shamban, nikakomaga kuingiza mashine mbunye ikabana nikajikuta nakojoa pale pale mlangonii [emoji1787][emoji1787][emoji1787],

Sasa siku hyo ya UEFA dem akanambia njoo nikaze jamaa ang anaenda mpirani, bas kwel jamaa tulienda nae kibanda umiza kuchek mech, ile kipind cha kwanza kinaishia nikatoka nikaenda kwa mke wa jamaa nikampiga kimoja nikarud kuendelea na mechii

Sasa huku nyuma jamaa madrid yakee ikashindaa alivofikaa hom akakomaa anatakaa mechii, mke akampaa jamaa kakuta fulu utelezi na ma genye yang nilotupiamo, akaleta noma sema wife aka mzima hakustukia ishuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.

kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
Duh ngoja niahirishe mpango wangu. Nilikua na ndoto na hilo kabila
 
Asilimia kubwa ya watu wanaokiri kuwala wake za watu hapa wanaonekana hawajaoa.Ngojeni muoe nanyie malipo duniani hapahapa
Dah kweli, maana hata mimi nilikuwa nachukulia kawaida watu wanaposimulia kula wake za wenzao.

Ila tangu nimeoa, hili jambo linaniuma sana, tangu nimeanza kisoma uzi huu nawafikiria tu wapangaji wenzangu ma bachelor na mke wangu. Najisemea tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Pole sana ,sema nini...
ile kitu ni kama sahani ya hotelini...
anaweza tumia yule ikaoshwa ukaja tumia wewe na wala usijue nani kaitumia...kikubwa we kula popote na sahani yeyote ilimrad asijue mkeo .pia kama bado kunachumba hapo ulipo nistue ila kiwe 20-25k kodi yake
 
Mnyaturu, Mbulu akikunyima kaoge maji ya bahari, wana huruma ni wakarimu eneo hilo
Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa

Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
 
Kiswahili sahihi, Ilikuwaje hadi ukala mke wa mtu au ukaliwa na mme wa mtu?
 
Back
Top Bottom