Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Mi nakumbuka siku moja nimefika nyumbani kutoka kibaruani nikiwa nimechoka kutokana na mikiki mikiki ya wahindi na daradara za mbagara, kufika gheto naangalia simu nakuta missed call namba mpya, nikajiuliza nani huyu, kuangalia namba imesajiliwa kwa jina gani kama naweza kumjua ila jina lililotokea hata sijawahi kulisikia.

Nikaona si kesi nikapiga simu akapokea mtu na sauti kama ya msichana mdogo mdogo, nikamuuliza nani akajitambulisha na akaongeza eti tulikutana kwenye gari tulivyokuwa tunaelekea Singida, ikiwa mimi hata njia ya singida sijawahi kuipita ila nikaamua kujifanya ndo mimi, baada ya kuongea ongea nae inaonekana jamaa alimtongoza wakabadirishana namba ila jamaa akawa kimya sasa sijui yule dada alikosea kunakili namba hata sijui.

Ila siku moja kabla ya kukutana nikapige mzigo nikaona tu nimwambie ukweli kuwa mimi si huyo jamaa yake, ila cha kushangza akasema ye hana shida labda kama mimi ndo sitaki basi nikaenda hadi gongolamboto.

Aisee cha kushangaza nikakutana na mmama amenipiga gap la kama 10yrs,ila yeye cha kushangaza wala hakuwa hata na wasiwasi, basi nikatafuta Lodge nikaingiza mzigo nikapiga kwanza kimoja akili ikae sawa, kisha nikaanza kupiga nae story ndo nikajua kuwa kaolewa na anawatoto wawili,nikaishiwa kabisa na nguvu ikanibidi tu nipige show ya ukweli kisha nikasema hanipati tena huyu. Baada ya hapo kila akinitafuta namzingua zingua tu hadi kachoka mwenyewe.
 
Usiwe mkali sn jmn
 
Aisee kumbe ni kweli hizi mambo![emoji30] [emoji30]
 
Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).

Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.

Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.

Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.
 
🀣🀣🀣🀣pima tu
 
Hii kweli ni from Texas
 
Yaan ukiongelea kuhusu ukimwi presha inaanza kupanda sikua naogopa kupima ila baada ya kuchepuka akili yangu haipo sawa kwa sasa dadeki nanikipima nikaona fresh sitaki tena michepuko
Ha haa..
Haya maneno tu ya humu..
Utaonja na utaonja tena na tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…