Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpaka leo hujawahi tu gundua mimi nipo single? [emoji6]Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuna msoma 'Texas' hapaI was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
EhHakuna msoma 'Texas' hapa
Tupo we tuliza akili utawaona kibaoHampo hata siku iz Kila mtu na mtuwe
Na wajita jeeeMkuu mbona unaongea kwa hyper sanaa??!!
Samahani kama nimekugusa.
Ila huna uhakika na tabia zangu na nimetulia na mwenzawangu staki shobo mpapaso.
Unajua kuna kitu kinaitwa rate .
Inategemea hiyo rate ni kubwa ama ndogo.
Katika makabila ulioyataja mengi ukiwayaoa wanatulia na ndoa.
Na umalaya wafanyao ni wachache sio asilimia kubwa na sanasana huwa kwasababu ya kipato.
MRANGI,MMANYARA HAWA WATU UWAOE USIWAOE ASILIMIA KUBWA NI WATU WA KUCHEPUKA.
TENA ANAWEZA AKATEMBEA NA HATA NDUGU ZAKO NA WW UKASHANGALIA TU.
MRANGI,MMANYARA,MNYATURU KAMA HUNA PESA YEYE MWANAMKE ATAKUTONGOZA NA KUKUNUNUA.
HALAFU SASA HATA HAWARIDHIKI NA MTU MMOJA.
NAONGEA UKWELI SIO HISIA HAYO MAKABILA NI WAZINZI KUFURU KAMA HUTAKI MEZA PANGA.
Au ww ndyo chibonge aliyekua anasimulia... Mbona kama umekua mkaliAlooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?
Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
Kwaiyo saa iz umejipanga na unga wa mkongo, akikupa tena... Maana yumo humu nimemwona3rd...mi nilinla single maza Chuo...Alikua Chibonge bonge hivi Anajoto hatari..plus kibamia changu ..yani alikua analia nimuingize kumbe kitu kimo...yani nilikua hadi natamani kulia, yani natokwa jasho hamu sina,but mtoto anataka Dyudyu, baada ya mechi tatu tofauti huku nikifeli zote ndo aliniita siku moja tukiwa chuo akanieleza kua yeye kasha zaa na akinionyesha mwanae,duu iliniuma kwani mm jogoo ndo hivyo ni mvivu...plus mwembamba ..yani baada ya hapo kila nikiomba mechi anadai anasoma...hadi leo nikimkumbuka nacheka kwani nilimla kwa kisingizio mimi sijui. DS....
Mkuu mle nae anakutaka na kiba100 chako ha ha haCL cjui Communication skills haina application youote ile...but nachooamini umeelewa...pia hauna sehemu nimevunja kanuni za uandishi za mitaani labda useme za ofisini
Yaan wapenda 0713... Za wenzao utawajua tu.... C bora umuueUkitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Ya pili hii ....
Kuna binti alikuja home kumsalimia mjomba wake ambaye alikuwa mapamgaji wetu. Yule binti kwa muonekano huwezi kuhisi kama ameolewa kwa sababu anaonekana mdogo sana kiumbo. Ila anapoishi sio mbali na home kwetu enzi hizo nikatafuta namna mpaka nikajenga naye mazoea Mungu si Halfani aka majani mrembo akaniambia yeye anaishi na mama yake mdogo ila huwa anasafiri ikitokea ameshafiri atakuja home kulala.
Dah nikaona isiwe kesi siku hiyo nipo zangu na wana mara binti ananiita pembeni nilipoenda akaniambia leo nakuja mama mdogo amesafiri nikamwambia poa ikifika ile mida ya kuangalia ule mchezo wa FUKUTO wa kina Muhogo mchungu na kina Kanumba enzi hizo wewe zama chumbani maana watu wote watakuwa busy kwenye TV.
Mission succesful:-
Mrembo akazama chumbani na mimi nikaangalia lile igizo la fukuto mpaka lilipoisha nikaenda zangu kulala dah kwa mara ya kwanza nilikutana na mtu asiyechoka kwenye ule mchezo nilipopiga viwili nikataka kulala ile usingizi unakolea kolea naona mtu ananisumbua tena tukapiga gegedo mapaka alfajiri nilimtoa ndani ile adhana ya kwanza.
Ukawa ndio mchezo wake kuja kulala home siku moja akaniambia njoo upajue ninapokaa nilipofika nikaingia chumbani kwake nikakuta mkanda na suruali kama nne hivi za kiume zipo juu ya enga nikamuuliza za nani kasema za baba yake mdogo basi wala siku hoji ilikuwa mchana nikachakata papuchi kisha nikaondoka .
Habari zikamfikia mume wake kuwa mke wako huwa halali ndani unapikuwa zamu ya usiku kazini, Kumbe mume wake yupo bandarini ila ni pande la mtu haswa yaani mpaka najiuliza hivi yule jamaa kama angenibamba mle ndani ningewezaje kujitetea nisitatuliwe marinda yangu.
Kuna siku nimeenda pale bila taarifa nikamkuta jamaa amelala sebuleni nikahisi naweza kuwa ndio baba yake mdogo nikatoka ile natoka na kutana yule binti anatoka kuoga amevaa kanga moja tu alistuka sana akaniambia ondoka bab mdogo yupo , kumbe jamaa ndio ametoka kazini night shift na mausingizi yake amejilaza pale.
Kupunguza urefu wa story washikaji wa mtaani walikuja kuniambia ujue Salma ameolewa na mume wake ameshajua kama anachepuka ila hajamjua mtu anayechepuka naye hivyo ametugea kazi hapa tumtajie mtu anayemlia mke wake ili amzibue mtaro. Nilistuka sana tangu siku hiyo na yule hatuna stori ingawa aliachana na yule mume wake lakini nilimuona kama hakuwa akinitakia mema.
MWISHO.
kipindi muhuni niko zangu udom kuna dada alikua anapita kusuka wanachuo kwenye hosteli zao...mtoto mmoja wa kikurya black beauty anatako kama anachambia hamira..muhuni nikamueka sawaa akaelewaaa..khaaa mtoto alikua na ndogo kama tundu la pua...basi ikawa kabla ya kusuka dudu..baada ya kusuka anapewa dudu tamuu...baadae ndo akasema kua ni mke wa muarabu..nilivokumbuka waarabu walichukua babu zetu kama watumwa..kudadeki ndo nikawa namkunja kama fensi ya umeme..afu demu alintambulisha kwa bwana wake kua mi mdogo ake ..ingawa huyo jamaa hatukuonana..ila ilikua anaongea na mimi kupitia kwenye simu..siku mara paap nasikia demu anasema niko apa ribrary na shemeji yako anataka kukuona..nikasema niko ngongona uku mbali sana..mara jamaa akachukua simu akasema chukua bodaboda bwana kwa bei yoyote ntalipa..hapo sasaa machale ya tako yakanicheza...baadae akasema uko wap hufiki dogo..nikasema niko informatics..akasema nisubir hapohapo nakuja..nhapo ndipo nlipozima simu niokoe marinda....maana kesho yake demu alintafta kwa no nyingine akssema jamaa aliona text ya utata hivo ikabid aweke mtego..demu akasema alikua haogopi mi kupigwa maana anajua kua nlikua napga martial arts hatar..ila tatizo bwana wake ata ngumi hawez ila anamguu wa kuku...dah siku ile mazee ningekaangwa na chamoto..anyway ester popote ulipo nakupa hi sana mamilooo..
Kuna mama mmoja hivi mgogo alikuwa ametoaka Sumbawanga kipindi hiko na mume wake ni mpogoro yule mzee alikuwa classmate wa Raisi mastaafu Jakaya Kikwete.
Sasa nilikuwa na kawaida ya kwenda kuazima movie na kumpelekea movie mpya yule mama, siku hiyo nimeenda mzee amesafiri ameenda kwao huko Ifakara yule mama akaniambia leo tuangalie tu pamoja hiyo movie maana nipo bored sana nikiwa peke yangu bila mzee. Nikakubali mbaya zaidi siku hiyo tulikuwa tunaangalia ile movie ya TITANIC aisee..
Ilipofikia kwenye ile scene ya Jack anamchora Rose niliona mama ananiangalia usoni mara akainuka sijui alienda aliporudi ilikwa jamaa amemaliza shuguli yake pale akaniambia rudisha nyuma nione hapo kati nilipopakosa nikamwambia nitakusimulia.
Ila siku ile sikurudi nyumbani nilimnyoosha yule mama none stop mpaka jogoo la kwanza linawika sijalala siku ukizingatia nilikuwa na uchuoa si wa kitoto. Huyu mama sasa hivi ni miaka kumi bado nipo naye kwenye mahusiano yaani akikaa huwa ananitafuta anajidai nilikuwa nakusalimia tu nikimtania wewe seme tu kama umemmisi mnyalu akicheka tu absi ujue anaweza kusukumiwa nyama. Kipindi naanza naye nlikuwa sijaoa ili sasa hivi nimeoa na yeye kuna kipindi alikuwa mjane maana yule mzee alifariki ingawa sasa hivi ameolewa tena , na huyo aliyemuoa wanajifanya walokole balaa...
Nikipata muda nitaleta nyingine.....
Ya pili hii ....
Kuna binti alikuja home kumsalimia mjomba wake ambaye alikuwa mapamgaji wetu. Yule binti kwa muonekano huwezi kuhisi kama ameolewa kwa sababu anaonekana mdogo sana kiumbo. Ila anapoishi sio mbali na home kwetu enzi hizo nikatafuta namna mpaka nikajenga naye mazoea Mungu si Halfani aka majani mrembo akaniambia yeye anaishi na mama yake mdogo ila huwa anasafiri ikitokea ameshafiri atakuja home kulala.
Dah nikaona isiwe kesi siku hiyo nipo zangu na wana mara binti ananiita pembeni nilipoenda akaniambia leo nakuja mama mdogo amesafiri nikamwambia poa ikifika ile mida ya kuangalia ule mchezo wa FUKUTO wa kina Muhogo mchungu na kina Kanumba enzi hizo wewe zama chumbani maana watu wote watakuwa busy kwenye TV.
Mission succesful:-
Mrembo akazama chumbani na mimi nikaangalia lile igizo la fukuto mpaka lilipoisha nikaenda zangu kulala dah kwa mara ya kwanza nilikutana na mtu asiyechoka kwenye ule mchezo nilipopiga viwili nikataka kulala ile usingizi unakolea kolea naona mtu ananisumbua tena tukapiga gegedo mapaka alfajiri nilimtoa ndani ile adhana ya kwanza.
Ukawa ndio mchezo wake kuja kulala home siku moja akaniambia njoo upajue ninapokaa nilipofika nikaingia chumbani kwake nikakuta mkanda na suruali kama nne hivi za kiume zipo juu ya enga nikamuuliza za nani kasema za baba yake mdogo basi wala siku hoji ilikuwa mchana nikachakata papuchi kisha nikaondoka .
Habari zikamfikia mume wake kuwa mke wako huwa halali ndani unapikuwa zamu ya usiku kazini, Kumbe mume wake yupo bandarini ila ni pande la mtu haswa yaani mpaka najiuliza hivi yule jamaa kama angenibamba mle ndani ningewezaje kujitetea nisitatuliwe marinda yangu.
Kuna siku nimeenda pale bila taarifa nikamkuta jamaa amelala sebuleni nikahisi naweza kuwa ndio baba yake mdogo nikatoka ile natoka na kutana yule binti anatoka kuoga amevaa kanga moja tu alistuka sana akaniambia ondoka bab mdogo yupo , kumbe jamaa ndio ametoka kazini night shift na mausingizi yake amejilaza pale.
Kupunguza urefu wa story washikaji wa mtaani walikuja kuniambia ujue Salma ameolewa na mume wake ameshajua kama anachepuka ila hajamjua mtu anayechepuka naye hivyo ametugea kazi hapa tumtajie mtu anayemlia mke wake ili amzibue mtaro. Nilistuka sana tangu siku hiyo na yule hatuna stori ingawa aliachana na yule mume wake lakini nilimuona kama hakuwa akinitakia mema.
MWISHO.
Kumbe ulilala nae tu hukumla [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.
Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.
Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.
A+Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu

acha matusi kwny makabila ya watu...bata maji wewe[emoji1658]Hahahahahahahahh kaka huko ulipoenda wala siko.
SIKUWAHI KUTEMBEA NA MKE WA MTU NA SITAWAHI KWASABABU DINI YANGU HAINIRUHUSU HIVYO.
Nina mke mzuri mashallah nywele mpk kiunoni nikahangaike na wamakonde,wahaya,wanyaturu wann mm kunitia shombo???
Ila kaka mm namalizia kusema mwanamke hachungiki kaka.
Nina sababu ya kusema hivyo ndio maana nikakwambia hivyo kaka.
Utamrudisha kwako atampata wa kumzuzua mwishowe akutilie sumu yapo haya bro.
Wanawake tuwaone hv hv ni mama zetu lakini acha tu.
[emoji23][emoji23]Mkuu mpaka leo hujawahi tu gundua mimi nipo single? [emoji6]
Yapo mkuu nayalinda sana .Mkuu bado marinda yako unayo?