Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Hapa ndiyo dk 25 za kwanza zimeisha, bado 40 za kipindi cha pili, mwalimu wa watu amuwahi Mr. wake, leo lazma asingizie anaumwa.
 
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu mpaka leo hujawahi tu gundua mimi nipo single? [emoji6]
 
Hakuna msoma 'Texas' hapa
 
Na wajita jeee
 
Alooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?

Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
Au ww ndyo chibonge aliyekua anasimulia... Mbona kama umekua mkali
 
Kwaiyo saa iz umejipanga na unga wa mkongo, akikupa tena... Maana yumo humu nimemwona
 
CL cjui Communication skills haina application youote ile...but nachooamini umeelewa...pia hauna sehemu nimevunja kanuni za uandishi za mitaani labda useme za ofisini
Mkuu mle nae anakutaka na kiba100 chako ha ha ha
 
Yaan wapenda 0713... Za wenzao utawajua tu.... C bora umuue
 
Ww ilikuwa siku ya 39 ukila tena cha mtu zinafika 40
 
Movie hizii mbayaa, ila na mm nikioa siwahuni mtanilia jamanii
 
Mkuu bado marinda yako unayo?
 
Kumbe ulilala nae tu hukumla [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
A+
 
acha matusi kwny makabila ya watu...bata maji wewe[emoji1658]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…