Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.

kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ungefumba macho na ww ukapiga.
 
Umetumia nguvu nyingi sana kuandika for nothing
 
Ulifaidi sana ngozi kama hizi huwa nazihitaji sana ila niliwahi pata chotara na sikufaidi
 
Enzi hizo naanza Chuo, nikawa namkula dada mmoja, kumbe ni mke wa mtu.

Akabeba mimba ya mume wake, baada ya hapo aliniahidi hatozaa tena na mumewe hadi atakaponizalia mtoto na mimi akiwa kwa mumewe! Au ikiwezekana hata atoke kwa mume wake!

Sikupenda kuzaa na mke wa mtu kabisa! Hata show nilizokuwa napiga naye moyo ulikuwa ukiniuma sana aisee!

Alikaa miaka 5 akinisubiria ili azae nami hadi nikamuonea huruma mwanaume mwenzangu. Kuna siku hadi machozi yalitoka nilipojaribu kuvaa viatu vya mhusika!

Mwaka wa 6 akabeba mimba ya mumewe nami nikapata sababu ya kumuacha adumu na mume wake.

Hadi sasa tunawasiliana tu ila tuko mbali mbali saana.
 
Wengine kwasababu ya hali ngumu ya kiuchumi,anaweza kukufanya njia yakupatia mtaji na mumewe.Mwanamke akikuona unanafuu ya maisha anajifanya kakuelewa kwakukutega,mwisho wasiku mupo hotel(guest) kabla hujakula mzigo kunaibuka fumanizi,Mumewe anakuja na majamaa,Unaambiwa ili soo liishe utafutu PESA (ma million). Huku hata kumla mke hujamla,lakini vile umekutwa nae Guest.
Vijana kuweni makini,Ila amri ya Sita(usizini) imelenga zaidi kutokulala na mke wa MTU,yaani bora ujitombee visichana huko kuliko mke wa MTU.Kwangu Mimi tafasiri ya kuzini(zinaa) nikulala na aliye ktk ndoa.I we mwanamke amelala na mume wa MTU au mwana mume amelala na mke wa MTU ,au mke wa MTU mwingine amelala na mume wa MTU mwingine. Lakini vinginevyo naona kama ni uwasherati tu,ambao simzuri kwa afya lakini si dhambi.
 
Daaah huu uzi naona mabibie hawataki kusema .
 
Karma is a bitch.
 
Alikuwa tungi, akanikuta napika akauliza vipi? Nikajibu fresh tu ila kamba imekauka kwa kukosa maji. Akasema basi nitakuletea beseni la maji uloweke kamba yako. Akaleta nikala akaosha akammpelekea mwenye nayo.
 
Ulifaidi sana ngozi kama hizi huwa nazihitaji sana ila niliwahi pata chotara na sikufaidi
Alikuwa mtamu,alafu msafi sana.mpaka.leo siamin kama nilikiwa na mwanamke wa namna ile na sidhani kama zali kama lile nitapata tena.
 

Hatutishiki
 
Kuelezea wote itakua ni ngumu mana List ni ndefu
Waarabu - 5
Wahindi - 3
Wakienyeji aka Ebony - 11

= 19
hawa ndio ninaowakumbuka kwa haraka tu, Ila naamini wapo na wengine.
 
Kuelezea wote itakua ni ngumu mana List ni ndefu
Waarabu - 5
Wahindi - 3
Wakienyeji aka Ebony - 11

= 19
hawa ndio ninaowakumbuka kwa haraka tu, Ila naamini wapo na wengine.
Hawaja kuotea wotee hao wenye wake zaoo mkuu?
 
Madam wang advance aliniomba show nikawa nampiga home kwake, mume wake anafundisha hapohapo skul, next week naenda kuchkua result slip amesha_book migegedo mingine kadhaa.
 
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Single niko hapa mkuu
 
Hahaha acha biti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…