Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Kumbe kwanini ukiwa unafanya master's au PhD lazima dissertation au thesis uipeleke kwa grammar checkers,,,,,,????? Sio kila mmoja n mtaalamu wa kiingereza kijana.....!!!!
Kwa hiyo akipata kazi, huko kazini kila email atakua anaipeleka kwa grammar checker? Au presentations?
 
We tambua kuna PhD candidates kibao n master's candidates wa kutosha lugha inawachemsha balaa....!!!!case clased
Lol!! Imekugusa. Na ulivyoandika ni dhahiri wewe pia ni muhanga. Lakini haijalishi. Cha muhimu ni kujifunza lugha unayotumia kwa masomo kwa ufasaha. WaTz usually we are very good at writing but poorer at speaking/oral English.
 
Binafsi mwaka jana mwezi wa pili walikuja walimu wa field shuleni, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja gheto anapika tunakula, naye analiwa nikawa kama nimeoa kabisa.

Baada ya kama miezi miwili nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilishtuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruani.

Dah mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
Acha kabisa, iogope kama ukoma.
Kwa baraka na Neema za maisha chukuwa kidichosajiliwa
 
3rd...mi nilinla single maza Chuo...Alikua Chibonge bonge hivi Anajoto hatari..plus kibamia changu ..yani alikua analia nimuingize kumbe kitu kimo...yani nilikua hadi natamani kulia, yani natokwa jasho hamu sina,but mtoto anataka Dyudyu, baada ya mechi tatu tofauti huku nikifeli zote ndo aliniita siku moja tukiwa chuo akanieleza kua yeye kasha zaa na akinionyesha mwanae,duu iliniuma kwani mm jogoo ndo hivyo ni mvivu...plus mwembamba ..yani baada ya hapo kila nikiomba mechi anadai anasoma...hadi leo nikimkumbuka nacheka kwani nilimla kwa kisingizio mimi sijui. DS....
Hahahahah mkuu umeua daah
 
Lol!! Imekugusa. Na ulivyoandika ni dhahiri wewe pia ni muhanga. Lakini haijalishi. Cha muhimu ni kujifunza lugha unayotumia kwa masomo kwa ufasaha. WaTz usually we are very good at writing but poorer at speaking/oral English.
Kuna wanafunzi wa PhD kibao kwenye presentation utawaonea huruma,,,,,,,maana yangu suala LA lugha linawasumbua wengi sana
 
Katika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.

Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.

Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.

Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
 
Utoa tu mzee what goes around comes around

sili mke wa mtu hata iweje
 
Back
Top Bottom