Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Kumbe kwanini ukiwa unafanya master's au PhD lazima dissertation au thesis uipeleke kwa grammar checkers,,,,,,????? Sio kila mmoja n mtaalamu wa kiingereza kijana.....!!!!
Kwa hiyo akipata kazi, huko kazini kila email atakua anaipeleka kwa grammar checker? Au presentations?
 
We tambua kuna PhD candidates kibao n master's candidates wa kutosha lugha inawachemsha balaa....!!!!case clased
Lol!! Imekugusa. Na ulivyoandika ni dhahiri wewe pia ni muhanga. Lakini haijalishi. Cha muhimu ni kujifunza lugha unayotumia kwa masomo kwa ufasaha. WaTz usually we are very good at writing but poorer at speaking/oral English.
 
Acha kabisa, iogope kama ukoma.
Kwa baraka na Neema za maisha chukuwa kidichosajiliwa
 
Hahahahah mkuu umeua daah
 
Lol!! Imekugusa. Na ulivyoandika ni dhahiri wewe pia ni muhanga. Lakini haijalishi. Cha muhimu ni kujifunza lugha unayotumia kwa masomo kwa ufasaha. WaTz usually we are very good at writing but poorer at speaking/oral English.
Kuna wanafunzi wa PhD kibao kwenye presentation utawaonea huruma,,,,,,,maana yangu suala LA lugha linawasumbua wengi sana
 
Katika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.

Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.

Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.

Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
 

Utoa tu mzee what goes around comes around

sili mke wa mtu hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…