kwaiyo mtoto sio wa msela?Daa, kuna mmoja tulianzana kabla hata hajaolewa ila tulikuja zinguana akaolewa then tukarudiana na mimi nikaja kuoa ila hadi now ni mwaka wa 6 tangu tuwe pamoja na bado tunarndelea kuburudishana. Yule dada inafikia hatua anatamka anatamani ningekuwa mme wake, kaolewa ila hamkubali kabisa mmeo. Nilijaribu kumshawishi tuzae alikubali. Wanaume tuoe tuu ili tupate wenza ila nyumba zina siri kubwa sana
Japo naona asilimia kubwa mwanamke akikuwekea mazingira wengi hamchomoi
Wanaume ndo mnajaza uzi tu
Wanawake je?.
Naona uzi mshajimilikisha acha tuwasome tu hamna namnaaTupe ikispiriensi yako basi ulivyoliwa na mume wa mtu.
Naona uzi mshajimilikisha acha tuwasome tu hamna namnaa
Kweli kabisa, back days wakati naishi hom kuna mke wa mtu ali fall completly hadi nyumbani wakawa wanajua mana nikiwa nyumbani tu haishi vituko mara aniite chumbani kwake na mengine... Ila sikumkula hata, mwingine kuna sehemu nilipanga sasa mama mwenye nyumba daah. alikuwa ni shida mana nikiwa hom anakuja hadi chumbani kudai ela ya umeme, nikiwa ghetto na lock mlango kwa ndani hadi agonge nikifungua nasimama mlangoni ndio tuongee hadi akazoe ila naye sikumkula hadi nimeama.Asilimia kubwa ya watu wanaokiri kuwala wake za watu hapa wanaonekana hawajaoa.Ngojeni muoe nanyie malipo duniani hapahapa
Andaa linda, senge weweKatika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.
Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.
Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.
Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
Katika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.
Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.
Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.
Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
Nilikuwa najaribu kuona msimamo wake, sikuzaa naekwaiyo mtoto sio wa msela?
Hongera sanaKweli kabisa, back days wakati naishi hom kuna mke wa mtu ali fall completly hadi nyumbani wakawa wanajua mana nikiwa nyumbani tu haishi vituko mara aniite chumbani kwake na mengine... Ila sikumkula hata, mwingine kuna sehemu nilipanga sasa mama mwenye nyumba daah. alikuwa ni shida mana nikiwa hom anakuja hadi chumbani kudai ela ya umeme, nikiwa ghetto na lock mlango kwa ndani hadi agonge nikifungua nasimama mlangoni ndio tuongee hadi akazoe ila naye sikumkula hadi nimeama.
Mmmmh japo umeshajua kuwa huyo n mke wa mtu, still unataka tena! Inaonekana yuko vizuri kunako huyo dadaKatika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.
Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.
Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.
Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
Andaa linda, senge wewe
Jemedari.siku inakuja
Mmmmh japo umeshajua kuwa huyo n mke wa mtu, still unataka tena! Inaonekana yuko vizuri kunako huyo dada
Kanisan umeenda??Leo naona umeniita [emoji3]
Kanisan umeenda??