Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

I was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
 
Unatutisha au? kuna waha wamechanjwa hadi kweny mkuyenge hzo dawa zako hazina maana
Mbona wa watu unakula
Unafikiri Babu Seya na wanawe walifungwa kwa kosa gani? Unafikiri baba na watoto wanaweza kuwabaka watoto wote wale? na kipindi wanabakwa wale watoto walikuwa wapi? je, unaweza kuwakusanya wale watoto wote na mkaanza kuwaingilia bila majirani kujua?
- Yule jamaa wa The mafiki unafikiri aliuwawa kwa kosa gani?
Kuna watu wake zao huwa hawaliwi hata ukimla ukibainika lazima uache historia. Ni bora utembee na demu wa jamaa kuliko mke wa jamaa. Na kama umefika umri wa kuoa ni bora uoe kabisa kuliko kuanza kukimbizana na wake za watu.
MKE WA MTU SUMU
 
Pole kwake itakuwa amepitia kipind kigumu Sana mpaka kupona
 
Bila kusahau mwenyekiti wao ambae ni mhaya
Kuna nesi mmoja hapa ila anamchumba yuko mbali, so nadhani upweke ndo umesababisha,, mda mwingine anaeudi night hakuna wa kumfungulia geti,, [emoji28]

Teh teh wapangaji wote mle ndani watu wa mishe mishe, kuonana usiku huko[emoji28]

Basi utaniutani hatimaye ameelekea kibra,, nimechinja kuku wa kizungu hana hata damu,,[emoji40]
 
Hahahahahahahahh kaka huko ulipoenda wala siko.
SIKUWAHI KUTEMBEA NA MKE WA MTU NA SITAWAHI KWASABABU DINI YANGU HAINIRUHUSU HIVYO.
Nina mke mzuri mashallah nywele mpk kiunoni nikahangaike na wamakonde,wahaya,wanyaturu wann mm kunitia shombo???

Ila kaka mm namalizia kusema mwanamke hachungiki kaka.
Nina sababu ya kusema hivyo ndio maana nikakwambia hivyo kaka.
Utamrudisha kwako atampata wa kumzuzua mwishowe akutilie sumu yapo haya bro.
Wanawake tuwaone hv hv ni mama zetu lakini acha tu.
 
We jamaa nataman nimjue mkeo nmtafune live live halafu nione hayo madawa yako..
 
Usijidanganye kabisa na hivyo vyeo,wake zao wanaliwa kama kawaida.amini kwamba
 
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ngoja nije [emoji28]
 
Kapìme kisha majibu vyovyote yatakavyokuwa waambie huyataki. Wayatumie kwa shughuli za takwimu.
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Wa-Iraq nakukubalia kutokana na uzoefu wangu,na Wanyaturu pia nakukubalia,ila kwa Wa-Iraq,nikijua mdada ni wa kabila Hilo,nakua na asilimia 99 yakumla kabla hata sijamtongoza.
 
For sure l real like UA story.
 
Usijidanganye kabisa na hivyo vyeo,wake zao wanaliwa kama kawaida.amini kwamba
Unajua Babu Seya alifungwa kwa kosa gani? Baba na watoto wanaweza kuwabaka watoto wote wale bila majirani kugundua?
The Mafiki, yule jamaa unafikiri alikufa kwa kosa gani?
Mke wa mtu sumu. Utakula wake za wanyonge tu ila ambao siyo wanyonge wanakupitisha mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…