Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Alikuwaga jirani yangu. Siku hiyo nimekutana nae njiani kaniomba hela. Nilikuwa nayo lakini nikamwambia sijatembea na hela labda twende home ukachukue.
Alivyoingia ndani baasi kazi ikawa rahisi. Kwanza nilikuwaga namtamani muda mrefu na alivyo na chura.
🤣🤣🤣🤣🤣 ile kibaharia kabisa.
 
Mikwara tu hyo haituzui wahuni kufanya yetu

Mke hajesema mi kosa langu lipi hapo
Ndio maana nasema hutokua na kosa.
Kosa analo mwanamke ambaye anatambua kuwa kaolewa halafu anafanya ushenzi.
 
Kuna kitu tunaita loophole
Hakuna kitu kisichokuwa na udhaifu Hakuna dawa isiyokuwa na reverse yake
We jidanganye tu
Mbona yule aliyeng'ang'ania akiwa na mke wa mtu. Kwanini alishindwa kujitoa? Uzi upo humu humu JF utafute usome. Usijekujifariji sana kwamba kwa dawa haziwezi. Unaweza kutekwa na watu wasiojulikana halafu wakakuta upo kwenye kiroba unaelea baharini.
Kuwa makini unatembea na mke wa mtu. Utawaonea wanyonge wenzako ila wale ambao siyo wanyonge watakufanyia kitu mbaya.
 
Noma sana!
Aah kaka hao watu siyo kabisa.
Yani wanazingua kichizi.
Yani hawaridhiki na ub*o mmojaa.
Sijui wakoje yanakera sana hayo makabila.
Yani hata mwanangu akikua sitamruhusu aolewe ama aoe mrangi,mnyaturu,mnyeramba,mmanyara sitamruhusu kabbissaaaa.
Sitaki wanichafulie ama kunitibulia ukoo.
 
Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa

Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
Hayo, makabila huwa yanasingiziwa au nini???

Maaana katik story tano, hawakosi kutajwa
 
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu ni hatari sana ila kwa vile roho ya uzinzi imetutawala tunaona ni mambo ya kawaida sana. Kuna kipindi kimoja cha EFM kinaitwa ripoti ya leo. Kuna mwanamke alikuwa na tamaa sana ya mali ila anatumia mwili wake kupata mali na alikuwa ameolewa na jamaa fundi gereji kama ulishawahi kusikia. Mwanamke akajikuta anatembea na boss wa mumewe, sasa mke wa boss akawa amejua mchezo mzima. Alichofanya aliwatuma watu wakamuua yule mwanamke.
Japo kuna sheria baada ya mtu kuvunja sheria, anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha au miaka 30 lakini tayari utakuwa marehemu. Unafikiri utamwambiaje Mungu utakapofika huko? Tufike mahali tuepuke vifo au vilema vya kujitakia.
 
Kwa bahati mbaya sana wake za watu wengi sana wanaliwa kirahisi mno kwa vitu simple. Nimegundua wengi waume zao hawawatupii vimaneno kama "umependeza, I miss you, good night love",etc. Wengine hata kutumiwa vocha wanaona ni booonge la caring. Hii dhambi nilishaiacha kitambo sana.
 
Kabisaaaaa umeongea kweli m mume wa mtu namuogopa kama ukoma na nafatwaga na wanaume za watu tu sijui lini nitampata single[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nime "like". 👍
 
Back
Top Bottom