Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Hahaah kaka mm nimetoa wazo tu kaka.
Kwasababu wizi unajulikana haufai na unapochukua mali ya mtu yeyote pasi ridhaa yake huo ni wizi huyo kupigwa kibiriti sawa.
Ila huwenda mkeo ndiye aliyemtongoza jamaa na akamdanganya yuko single je tatizo jamaa au mkeo?
Na kaka ukisema ufanye hvyo mkeo atakusaliti tu kwa mwingine huoni hiyo ni tabu???
Mapenzi haya acha tu.
Ila sawa mkuu kila mtu na mtizamo wake.
Maana ww mtizamo wako upo hivyo ila kwa mm namuacha mke na kumruhusu aende kwa huyo aliyenisaliti kwaye maana huwenda siku akaja nitilia sumu awe na mwingine bure.
Ila daaah we mkuda kichizi kaka hahahahahahah.
Najua unatembea sana na wanawake za watu ndiyo maana unaona uchungu sana kupigwa paipu kwa ajili ya matibabu. Ila kumbuka baadhi ya wanaume wake zao hawachukuliwi na wao wanawake wanalijua hilo. Tembea na mke wa mwanajeshi, hakimu, mkuu wa mkoa, waziri au polisi halafu uje utoe mrejesho. Kuna watu wamebambikiwa kesi na wamefungwa gerezani na hawajui watatoka lini gerezani kwa kutembea na wake za watu. Kuna wengine wameshakuwa vilema na wengine wamekufa kwa kutembea na wake za watu.
Ukisikia mke wa mtu ujue hiyo ni mali ya mtu ni sawa na kuiba mbuzi au simu kwa jamaa kwahiyo kuwa hai inatokana na huruma ya jamaa. Kama unafikiri mke wa mtu ni wa wote, nenda kwa mwanajeshi wa jirani yako halafu anza kumtania mke wake, mke wangu halafu uone kitakachokutokea.
CHA MTU MAVI
 
Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Duh! Ww jamaa hatar lakn wewe hujawahi kumla mke wamtu?
Acha roho mbaya cha mtu huliwa na mtu..

Ila umeniogofya aisee!! Ila ukinifanyia hvyo mm lazma nilipize tu hata kwa kuteka na kukupoteza kabisa
 
Mimi kuna binti mmoja wa kipare hana hata miezi mitatu kwa ndoa ila kanitunuku kisa mume yuko mbali nawasihi wanaume wenzangu hawa wake zenu waliohamia huku dodoma ni wepesi mno njoeni muwaokoe
Hawakatai hata hasa kwa sisi wamasai.
Ahahahaa
 
Unatutisha au? kuna waha wamechanjwa hadi kweny mkuyenge hzo dawa zako hazina maana
Mbona wa watu unakula
Naona umeshituka na kuumia sana. Huyo ni mke wangu, subiri siku akiwa siyo mke wangu ndiyo agongwe. Kwani mimi nilijua kama kuna mtu anatembea na mke wangu? Kwani kibaka anapokamatwa ameiba bata kwanini wanamchoma moto? Hiyo siyo ya kulipiza kisasi ni matibabu na haulazimishwi. Kama unataka kuendelea kuwa hanithi mimi wala hainihusu ila ukitaka tiba njoo nikufanyie tiba kwa roho safi kabisa. Unakula mke wa mtu halafu unaogopa kuliwa.
CHA MTU MAVI
 
Mikwara tu hyo haituzui wahuni kufanya yetu

Mke hajesema mi kosa langu lipi hapo

Back
Top Bottom