Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Duhhh!!! Aseee!!!
 
Jamani comments ziwe fupi fupi!

Halafu naona mapovu kwa mbaaali, mwanamke kama hajiheshimu ni hajiheshimu tuu!! Utaweka dawa, mfungie na hirizi ila kama hana maadili ni hana tuu!! Huwa hawabakwi wanaenda wenyewe!
 
Mkwara mbuzi
 
PhD gani anaandika hivi [emoji848]
 
hahahaa eti baada ya mechi tatu ambazo zote nilifeli.......dah nliwahi omba mechi kwa shem wangu mmja hivi nkazingua vbaya
 
Jamani mimi mpaka sasa nakula mke wa mtu. Na kisaa anadaii jamaa yake akija ni kupiga,kamoja ana lala na hapo kuonana ni mpaka week 2 tena.

Sasa anataka tu hali ile ya kupendwaaa
 
Ukitaka sheria za mke kuto kuliwa inabidi uendee uarabunii hukoo.

Ila huku bongoo ukitoka tu na yeye nyuma ana tokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…