Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Petrol Tank

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
205
Reaction score
354
Binafsi mwaka jana mwezi wa pili walikuja walimu wa field shuleni, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja gheto anapika tunakula, naye analiwa nikawa kama nimeoa kabisa.

Baada ya kama miezi miwili nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilishtuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruani.

Dah mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
 
3rd...mi nilinla single maza Chuo...Alikua Chibonge bonge hivi Anajoto hatari..plus kibamia changu ..yani alikua analia nimuingize kumbe kitu kimo...yani nilikua hadi natamani kulia, yani natokwa jasho hamu sina,but mtoto anataka Dyudyu, baada ya mechi tatu tofauti huku nikifeli zote ndo aliniita siku moja tukiwa chuo akanieleza kua yeye kasha zaa na akinionyesha mwanae,duu iliniuma kwani mm jogoo ndo hivyo ni mvivu...plus mwembamba ..yani baada ya hapo kila nikiomba mechi anadai anasoma...hadi leo nikimkumbuka nacheka kwani nilimla kwa kisingizio mimi sijui. DS....
 
3rd...mi nilinla single maza Chuo...Alikua Chibonge bonge hivi Anajoto hatari..plus kibamia changu ..yani alikua anlia nimuingize kumbe kitu kimo...yani niliiua hadi natamani kulia yani natokwa jasho hamu sina,..s baada ya mechi tatu tofauti huku nikifeli zote ndo aliniita siku moja tukiwa chuo akanieleza kua yeye kasha zaa na akinionyesha mwanae,duu iliniuma kwani mm jogoo ndo hivyo ni mvivu...plus mwembamba ..yani baada ya hapo kila nikiomba mechi anadai anasoma...hadi leo nikimkumbuka nacheka kwani nilimla kwa kisingizio mimi sijui. DS....
Alooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?

Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
 
Screenshot_20191013-091308.jpeg
 
Alooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?
Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
CL cjui Communication skills haina application youote ile...but nachooamini umeelewa...pia hauna sehemu nimevunja kanuni za uandishi za mitaani labda useme za ofisini
 
Alikuwaga jirani yangu. Siku hiyo nimekutana nae njiani kaniomba hela. Nilikuwa nayo lakini nikamwambia sijatembea na hela labda twende home ukachukue.
Alivyoingia ndani baasi kazi ikawa rahisi. Kwanza nilikuwaga namtamani muda mrefu na alivyo na chura.
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa

Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
 
Hahahhaa polee mkuu, cha msingi ww uliafaidii inatoshaa

Back
Top Bottom