Petrol Tank
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 205
- 354
Binafsi mwaka jana mwezi wa pili walikuja walimu wa field shuleni, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja gheto anapika tunakula, naye analiwa nikawa kama nimeoa kabisa.
Baada ya kama miezi miwili nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilishtuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruani.
Dah mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..