Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

kipindi muhuni niko zangu udom kuna dada alikua anapita kusuka wanachuo kwenye hosteli zao...mtoto mmoja wa kikurya black beauty anatako kama anachambia hamira..muhuni nikamueka sawaa akaelewaaa..khaaa mtoto alikua na ndogo kama tundu la pua...basi ikawa kabla ya kusuka dudu..baada ya kusuka anapewa dudu tamuu...baadae ndo akasema kua ni mke wa muarabu..nilivokumbuka waarabu walichukua babu zetu kama watumwa..kudadeki ndo nikawa namkunja kama fensi ya umeme..afu demu alintambulisha kwa bwana wake kua mi mdogo ake ..ingawa huyo jamaa hatukuonana..ila ilikua anaongea na mimi kupitia kwenye simu..siku mara paap nasikia demu anasema niko apa ribrary na shemeji yako anataka kukuona..nikasema niko ngongona uku mbali sana..mara jamaa akachukua simu akasema chukua bodaboda bwana kwa bei yoyote ntalipa..hapo sasaa machale ya tako yakanicheza...baadae akasema uko wap hufiki dogo..nikasema niko informatics..akasema nisubir hapohapo nakuja..nhapo ndipo nlipozima simu niokoe marinda....maana kesho yake demu alintafta kwa no nyingine akssema jamaa aliona text ya utata hivo ikabid aweke mtego..demu akasema alikua haogopi mi kupigwa maana anajua kua nlikua napga martial arts hatar..ila tatizo bwana wake ata ngumi hawez ila anamguu wa kuku...dah siku ile mazee ningekaangwa na chamoto..anyway ester popote ulipo nakupa hi sana mamilooo..
 
Aise na mm nachangia iko HV mama mmoja walinifata na mume wake kunionesha kiwanja chao wanachokiuuza nilishindwaa kununua ila baadae mam aliniachia namb nimtafute mtej mwingine aje kununua in short nilikuja kumla yule mam.
 
Kuna mama mmoja hivi mgogo alikuwa ametoaka Sumbawanga kipindi hiko na mume wake ni mpogoro yule mzee alikuwa classmate wa Raisi mastaafu Jakaya Kikwete.

Sasa nilikuwa na kawaida ya kwenda kuazima movie na kumpelekea movie mpya yule mama, siku hiyo nimeenda mzee amesafiri ameenda kwao huko Ifakara yule mama akaniambia leo tuangalie tu pamoja hiyo movie maana nipo bored sana nikiwa peke yangu bila mzee. Nikakubali mbaya zaidi siku hiyo tulikuwa tunaangalia ile movie ya TITANIC aisee..

Ilipofikia kwenye ile scene ya Jack anamchora Rose niliona mama ananiangalia usoni mara akainuka sijui alienda aliporudi ilikwa jamaa amemaliza shuguli yake pale akaniambia rudisha nyuma nione hapo kati nilipopakosa nikamwambia nitakusimulia.

Ila siku ile sikurudi nyumbani nilimnyoosha yule mama none stop mpaka jogoo la kwanza linawika sijalala siku ukizingatia nilikuwa na uchuoa si wa kitoto. Huyu mama sasa hivi ni miaka kumi bado nipo naye kwenye mahusiano yaani akikaa huwa ananitafuta anajidai nilikuwa nakusalimia tu nikimtania wewe seme tu kama umemmisi mnyalu akicheka tu absi ujue anaweza kusukumiwa nyama. Kipindi naanza naye nlikuwa sijaoa ili sasa hivi nimeoa na yeye kuna kipindi alikuwa mjane maana yule mzee alifariki ingawa sasa hivi ameolewa tena , na huyo aliyemuoa wanajifanya walokole balaa...

Nikipata muda nitaleta nyingine.....
 
kipindi muhuni niko zangu udom kuna dada alikua anapita kusuka wanachuo kwenye hosteli zao...mtoto mmoja wa kikurya black beauty anatako kama anachambia hamira..muhuni nikamueka sawaa akaelewaaa..khaaa mtoto alikua na ndogo kama tundu la pua...basi ikawa kabla ya kusuka dudu..baada ya kusuka anapewa dudu tamuu...baadae ndo akasema kua ni mke wa muarabu..nilivokumbuka waarabu walichukua babu zetu kama watumwa..kudadeki ndo nikawa namkunja kama fensi ya umeme..afu demu alintambulisha kwa bwana wake kua mi mdogo ake ..ingawa huyo jamaa hatukuonana..ila ilikua anaongea na mimi kupitia kwenye simu..siku mara paap nasikia demu anasema niko apa ribrary na shemeji yako anataka kukuona..nikasema niko ngongona uku mbali sana..mara jamaa akachukua simu akasema chukua bodaboda bwana kwa bei yoyote ntalipa..hapo sasaa machale ya tako yakanicheza...baadae akasema uko wap hufiki dogo..nikasema niko informatics..akasema nisubir hapohapo nakuja..nhapo ndipo nlipozima simu niokoe marinda....maana kesho yake demu alintafta kwa no nyingine akssema jamaa aliona text ya utata hivo ikabid aweke mtego..demu akasema alikua haogopi mi kupigwa maana anajua kua nlikua napga martial arts hatar..ila tatizo bwana wake ata ngumi hawez ila anamguu wa kuku...dah siku ile mazee ningekaangwa na chamoto..anyway ester popote ulipo nakupa hi sana mamilooo..
Baharia lazima uishi kwa machale,hongera sana kwa kuokoa marinda yako, mwarabu aingeacha kuyatatua
 
Hili ni tatizo ngoja nijirekebishe naona sisi wanaume nfo tunapenda kutoa ushuhuda wamama na wadada wapo kimya nadhan wapo sahihi
 
Nilikulaga mke wa mwarabu .

Ila naomba niishie tu hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Asije akanitafuta maana tunakutana kitaa Kila siku

Japo nilifaidi ila sirudii tena wake za watu maana ilifika Hadi siku 37 kueleka 40 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Machale yakanicheza nikajikata haraka Sana
 
I was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
Duuh! Hii English ni ya mwenye PhD ? Tena amesoma Texas? Lkn hongera mwaya!
 
Kuna hizi nyuzi 3 ni htr sana kula tunda kimasihara,mazingira gani hatarishi uliyofanyia mapenzi na huu unao endelea sasa huwa zinatambaa kinyama, ila cha kushangaza wachangiaji ni jinsia moja tu almost 98% ni wanaume sasa najiuliza ule ubavu wa pili uko wap???????
Huu uzi unataka kufanana na ule wa vijana wa kula tunda kimasihara

Ngoja tusubiri watu watililike ntakuja bdae
 
Ya pili hii ....

Kuna binti alikuja home kumsalimia mjomba wake ambaye alikuwa mapamgaji wetu. Yule binti kwa muonekano huwezi kuhisi kama ameolewa kwa sababu anaonekana mdogo sana kiumbo. Ila anapoishi sio mbali na home kwetu enzi hizo nikatafuta namna mpaka nikajenga naye mazoea Mungu si Halfani aka majani mrembo akaniambia yeye anaishi na mama yake mdogo ila huwa anasafiri ikitokea ameshafiri atakuja home kulala.

Dah nikaona isiwe kesi siku hiyo nipo zangu na wana mara binti ananiita pembeni nilipoenda akaniambia leo nakuja mama mdogo amesafiri nikamwambia poa ikifika ile mida ya kuangalia ule mchezo wa FUKUTO wa kina Muhogo mchungu na kina Kanumba enzi hizo wewe zama chumbani maana watu wote watakuwa busy kwenye TV.

Mission succesful:-

Mrembo akazama chumbani na mimi nikaangalia lile igizo la fukuto mpaka lilipoisha nikaenda zangu kulala dah kwa mara ya kwanza nilikutana na mtu asiyechoka kwenye ule mchezo nilipopiga viwili nikataka kulala ile usingizi unakolea kolea naona mtu ananisumbua tena tukapiga gegedo mapaka alfajiri nilimtoa ndani ile adhana ya kwanza.

Ukawa ndio mchezo wake kuja kulala home siku moja akaniambia njoo upajue ninapokaa nilipofika nikaingia chumbani kwake nikakuta mkanda na suruali kama nne hivi za kiume zipo juu ya enga nikamuuliza za nani kasema za baba yake mdogo basi wala siku hoji ilikuwa mchana nikachakata papuchi kisha nikaondoka .

Habari zikamfikia mume wake kuwa mke wako huwa halali ndani unapikuwa zamu ya usiku kazini, Kumbe mume wake yupo bandarini ila ni pande la mtu haswa yaani mpaka najiuliza hivi yule jamaa kama angenibamba mle ndani ningewezaje kujitetea nisitatuliwe marinda yangu.

Kuna siku nimeenda pale bila taarifa nikamkuta jamaa amelala sebuleni nikahisi naweza kuwa ndio baba yake mdogo nikatoka ile natoka na kutana yule binti anatoka kuoga amevaa kanga moja tu alistuka sana akaniambia ondoka bab mdogo yupo , kumbe jamaa ndio ametoka kazini night shift na mausingizi yake amejilaza pale.

Kupunguza urefu wa story washikaji wa mtaani walikuja kuniambia ujue Salma ameolewa na mume wake ameshajua kama anachepuka ila hajamjua mtu anayechepuka naye hivyo ametugea kazi hapa tumtajie mtu anayemlia mke wake ili amzibue mtaro. Nilistuka sana tangu siku hiyo na yule hatuna stori ingawa aliachana na yule mume wake lakini nilimuona kama hakuwa akinitakia mema.

MWISHO.
 
Kuna hizi nyuzi 3 ni htr sana kula tunda kimasihara,mazingira gani hatarishi uliyofanyia mapenzi na huu unao endelea sasa huwa zinatambaa kinyama, ila cha kushangaza wachangiaji ni jinsia moja tu almost 98% ni wanaume sasa najiuliza ule ubavu wa pili uko wap???????
Pamoja na kutumia [emoji723] fake kwao wanaona ni kama fedhea wanapata wakitoa ushuhuda

Na ule uzi wa machimbo huwa wanachungulia ila comment hawawezi
 
W
I was in texas when i was taking my Phd among of the universities in Town.
So i met someone we were so in love i was giving him to much support in our studies and in everything but when we are nearly finish our last semester he asked me to come in a good restaurant to talk and he ask me if i love him so much i told him yes and he apologise and tell me that he was married 2 kids.
I apologise and I left and thats was my finale love with married men.
Patricia story
Wot a bloodklaat bombklaat English.
 
Ya pili hii ....

Kuna binti alikuja home kumsalimia mjomba wake ambaye alikuwa mapamgaji wetu. Yule binti kwa muonekano huwezi kuhisi kama ameolewa kwa sababu anaonekana mdogo sana kiumbo. Ila anapoishi sio mbali na home kwetu enzi hizo nikatafuta namna mpaka nikajenga naye mazoea Mungu si Halfani aka majani mrembo akaniambia yeye anaishi na mama yake mdogo ila huwa anasafiri ikitokea ameshafiri atakuja home kulala.

Dah nikaona isiwe kesi siku hiyo nipo zangu na wana mara binti ananiita pembeni nilipoenda akaniambia leo nakuja mama mdogo amesafiri nikamwambia poa ikifika ile mida ya kuangalia ule mchezo wa FUKUTO wa kina Muhogo mchungu na kina Kanumba enzi hizo wewe zama chumbani maana watu wote watakuwa busy kwenye TV.

Mission succesful:-

Mrembo akazama chumbani na mimi nikaangalia lile igizo la fukuto mpaka lilipoisha nikaenda zangu kulala dah kwa mara ya kwanza nilikutana na mtu asiyechoka kwenye ule mchezo nilipopiga viwili nikataka kulala ile usingizi unakolea kolea naona mtu ananisumbua tena tukapiga gegedo mapaka alfajiri nilimtoa ndani ile adhana ya kwanza.

Ukawa ndio mchezo wake kuja kulala home siku moja akaniambia njoo upajue ninapokaa nilipofika nikaingia chumbani kwake nikakuta mkanda na suruali kama nne hivi za kiume zipo juu ya enga nikamuuliza za nani kasema za baba yake mdogo basi wala siku hoji ilikuwa mchana nikachakata papuchi kisha nikaondoka .

Habari zikamfikia mume wake kuwa mke wako huwa halali ndani unapikuwa zamu ya usiku kazini, Kumbe mume wake yupo bandarini ila ni pande la mtu haswa yaani mpaka najiuliza hivi yule jamaa kama angenibamba mle ndani ningewezaje kujitetea nisitatuliwe marinda yangu.

Kuna siku nimeenda pale bila taarifa nikamkuta jamaa amelala sebuleni nikahisi naweza kuwa ndio baba yake mdogo nikatoka ile natoka na kutana yule binti anatoka kuoga amevaa kanga moja tu alistuka sana akaniambia ondoka bab mdogo yupo , kumbe jamaa ndio ametoka kazini night shift na mausingizi yake amejilaza pale.

Kupunguza urefu wa story washikaji wa mtaani walikuja kuniambia ujue Salma ameolewa na mume wake ameshajua kama anachepuka ila hajamjua mtu anayechepuka naye hivyo ametugea kazi hapa tumtajie mtu anayemlia mke wake ili amzibue mtaro. Nilistuka sana tangu siku hiyo na yule hatuna stori ingawa aliachana na yule mume wake lakini nilimuona kama hakuwa akinitakia mema.

MWISHO.
***** [emoji23] ungejifanya mkwe mwema unamshtua unamuamkia kwa furaha baba mdogo shikamoo ndo ungejua maneno dunia na gunia yanatofautiana herufi za mwanzo
 
Back
Top Bottom