Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Katika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.

Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.

Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.

Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
Heshima yako boss
 
Alooo na third year yako ndio unatuandikia hivi kweli? Mwal kibibi alipokuwa anafundisha somo la mwandiko my dear ulikuwa wapi?

Mwandiko mbaya bana unachefua macho, uwe unaweka space ukiandika na ni lazima sio ombi.
Acha ukorofi wako 😀😀
 
Mwezi uliopita nilikuwa mwanza katika matembezi nikakutana na mmama anatembeza karanga za kuchemsha alikuwa ni mjaluo ana mzigo sanchoka akasome afu mweusi,nilimpita nikampa salamu ila nilipofika mbele ikabidi nigeuke alipofika mbali kidogo nilirudi nikaanza mfatilia nyuma nyuma kuanzia mitaa ya Ghana hadi karibu na nera zilipo ofisi za halmashauri,wakazi wa mwanza watakuwa wanapafahamu. Nilipomfikia nikaanza kuzuga na stori na hakuonesha kushoboka wala nini, ikabidi niingie na gia ya kununua karanga zote.kufupisha stori alinipa namba kwa sharti la kutompigia kuanzia saa 12 jioni kwani mumewe anakuwepo. Kesho yake nilimpanga tukaonana mitaa ya kilimahewa akaingia gesti na karanga zake nikala mzigo.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
***** walahi,nimecheka sa na...we itakuwa ulito.....mba mpk karanga
 
Back
Top Bottom