Mbona hujamuuliza mahali alipoπWe mbona haujasema ilikuaje......
Aseme kwanza ilivokua kisha atatuambia yuko wapi.....Mbona hujamuuliza mahali alipoπ
We mbona haujasema ilikuaje......
Kwakweli π€£Aseme kwanza ilivokua kisha atatuambia yuko wapi.....
Halooo π π πStory nyingine bwana eh,uzuri jf hatufahamiani.
Siku moja nimepanga jiji moja,mi naishi nyumba kubwa,nje kukiwa na wapangaji wengine 3. Kila mmoja alikuwa na mke wake. Jama mmoja alikuwa na mke,mrembo tu,ile sogea tuishi. Walikuwa na mtoto mmoja. Kumbe mwnamke alimficha mmewe kuw alizaa watoto wengine(2). Acha simu ipigwe na atarifiwe kuwa watoto wa mkewe waekuja kwa bibi yao. Ugomvi ukaanza hivyo. Kila aiku,ilikuwa ni kipigo cha ukweli. Mshikaji nae alikuwa mlevi kishenzi. Sasa,kuingilia ndoa za watu,ikawa ngumu. Leo jama ukimshauli,atashaulika,ila baada ya siku mbili,balaa.
Basi,siku moja bibie si akawa amepigwa jana yake! Akaja kushtaki na kwamba mwili mzima anahisi maumivu. Hapo kakaa kwenye viti vya kawaida sebureni,kawekewa kigodolo kidogo,akafanyiwa massage. Kumbe nae,hapo hapo anasikia raha. Anzia mikono,upande wa juu wote(kasoro kifuani),mgongoni,miguuni,hapo bado kajivalia gauni lake. Kwa chini,mikono ikapandishwa kuyaminya mapaja na makalio,hapo kichwa cha 2 kimechachamaa. Huku bado kalala kifudi fudi,miguu ilitandazwa,nae hakuleta ugumu,kitu kikazamishwa. Aliitikia kama vile alikuwa analipia huduma aliopewa. Muda kidogo kageuka,hadi zoezi likaisha. Iliishia hapo mchezo haukurudiwa.
Lihuni likubwa wewe!Mbinguni utapaona kwenye filamu tu.Huendi ng'oo!Story nyingine bwana eh,uzuri jf hatufahamiani.

Kufanya nini huko? Mi siendi na sitaki. Mkienda,baa zote zitabaki wazi,mifugo full. Magari yataachwa,vituo vya mafuta vitakuwepo,hotels nzuri zitabaki wazi. Kuna vidada vinajua huko vikienda havipokelewi,tutabaki wote tule raha. Ningekuwa na leseni ya kuendesha ndege,ningezunguuka dunia π€£π€£π€£π€£π€£π€£Lihuni likubwa wewe!Mbinguni utapaona kwenye filamu tu.Huendi ng'oo!
Nilipo mi sisemi. Na hilo janga!Aseme kwanza ilivokua kisha atatuambia yuko wapi.....
Acha maneno yakoKutembea na mke wa mtu ikiwa unajua ni mke wa mtu hiyo sio tamaa bali ubaradhuli usiokuwa na kifani.
Na mwanamke anaeruhusu kulalwa na mwanaume mwingine ikiwa yeye ni mke wa mtu basi huyo amepoteza sifa zote za kuwa mke wa mtu.
Ndoa ni muungano takatifu.
Stori za dini mbona nyingi mkuu! Si ukasome hizo?umeshiba vitumbua kwa shemeji yako umebakia kuwaza ngonoView attachment 3059812