Kwa hiyo,ukaona wamemkomoa! Si ndio? Mwanaume mjinga,hawezi kucontrol hisia zake.
Mtu hujamkuta analia nyumbani kwako,aseme labda nimebakwa. Haya,kajipeleka mwenyewe,hujui wamekubaliana nini. Kosa la mwanaume hapo ni lipi? Kosa ni la mwanamke. Hujasema labda walipofumaniwa mwanamke alijibu nini. Mbele za watu akisema anatafuta alichokosa kwako? Hivi,unadhani miaka kama 100 huko nyuma fumanizi hazikuwepo? Ulizia watu wazima walitatua vipi changamoto hizo. Fedheha inaenda kwa mwenye kumegewa wala si kwa mmegaji kuu.
Ulimwengu wa sasa una yake. Na kwanza elewa. Mwanamke aliyewajua wanaume kabla ya kuhifadhiwa,hata umpe nini,atachepuka hata na chizi.
Na kumbuka,kuna wengine hutafuta mbinu za kuachwa kwa mtindo huo,baada ya kujaribu kila wanaloliweza na kugandwa na wenzao. Mwanaume kamili eti unaenda kumfumania mkeo. Huku kaipeleka mwenyewe?!