babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hamna kitu kinatia kinyaa km kutembea na mke wa mtumaisha yoote na ukipanga woote sijawai kugusa mke wa mtu.labda gombania goli nao ni vibuti tu haraka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh hii mbona mpya imeandikwa wapi kwani?Kumbuka Mungu alimlipa Daudi kwa wanawake zake kumi kuliwa na mwanaume mmoja aitwaye Absalomu kwa siku moja.
DuuhMjukuu wa bakhresa mmoja wapo kisiwani Zanzibar, aliuawa kwa kuchomwa visu sehemu mbali mbali ya mwili wake. Kisa kutembea na mke wa mtu.
Hata mungu alisema usitamani mke wa mtu.
Nilimkuta na kadi ya Ccm, nikasema lazima nikupe adhabu, basi adhabu yake ikawa ni kwenda naye msikitini huko Vatican.Wanakuja
Hahahaha!!Nilimkuta na kadi ya Ccm, nikasema lazima nikupe adhabu, basi adhabu yake ikawa ni kwenda naye msikitini huko Vatican.
Kuna jambo inabidi tuzungumze baadae , mimi na wewe tu, linahusu ukuzaji wa sekta ya viwanda nchini.Hahahaha!!
Ama kweli w ni kipanga special
Mwamba huyu Hapa, ukimuona tu Unajua ni KitombiEndelea kujidanganya eti ndoa ni muungano takatifu.
Daudi alikua anakula wake za watu hadi kuua waume zao na bado Mungu alisema ukimgusa Daudi ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake.
Ibrahim alikua anakula house girl wake mchana kweupe na michepuko mingine bila shida yoyote na ndie mungu anaempenda.
Achana na kuhangaika na hadithi za kidini. Mke wa mtu akija kwako kutafta huduma ya kimwili mpe, wanawake wanapitia mengi inawezekana ndani mume hajampa mwezi ama hata miezi.
Sasa wewe usiye mjinga na wa kiume,mada kama hizi unazisoma zikusaidie nini? Si upite uende unakotaka kusoma unavyotaka?kwa akili za mleta mada anaona ni sifa au ni jambo la kawaida kusema kuhusu kutembea na mke wa mtu ila nikuambie unajishushia thamani yako tu japo id ndio tunayoiona ila kama umeweza kuandika jf sijui mtaani unaishije na imani yangu inaniambia huna mchango kwenye jamii yako zaidi ya kuwa mjinga mjinga usie jielewa....
mwanaume ninkuwa na kifua kumezea mambo ukishaanza kujiskia kusema au kusikiliza mambo ambayo yanapaswa kuwa siri basi jua unautamatusha uanaume wako itabaki kuwa jinsia ya kiume tabia na maisha ya kike
hupangiwi namna ya kuishi ila unakumbushwa misingi ya mwanaume usiwe mjinga janja... siwezi kupita bila kuwapa maneno yatakayo wakumbusha kuubeba uanaume wako.... usidanganywe kwamba watu wakikuacha ufanye mambo yako ndio upo sahihi unapotea kinachofanyika ni kukumbushwa ukigoma basi uanaachwa uendelee na tabia za kikeSasa wewe usiye mjinga na wa kiume,mada kama hizi unazisoma zikusaidie nini? Si upite uende unakotaka kusoma unavyotaka?
Je,mwanaume mwenye akili sasa ni yule anaewapangia watu namna ya kuishi?
madogo hawaelewi nn maana ya kuwa mwanaume sio kila jambo utalisema au kulifanya kama ni sifa mkuu huenda jamaa kanizidi umri ila kashajivua gamba la kuwa mwanaume amini kwambaKuna upuuzi mwingine ukiufanya siri unaingia nayo kaburini wala huwezi kurudia kusema au hata kuwaza yaani it never happened...
Mke wa mtu ni Sumu (walisema wahenga) mwisho wake ni Kifo au jeraha la maisha....
Ngoja na mimi niende Tanganyika arms nikajibebee mguu wa kuku. 😠😠Angalizo video inatisha.....Mke wa mtu mtamu ila hakikisha jamaa hana bastola.
View attachment 3071547
Kuna wahuni walitumwa na mwenye mke kumfanyizia jamaa lodge ...waligonga hodi kumtumia mhudumu wa lodge...jamaa alikua amepumzika ikabidi mwanamke akafungue mlango wahuni wakatimba ndani,jamaa akawahi kuchukua chuma chini ya mto...kabla hajavuta wahuni na mume wote nduki na mume alivunjika mguu na bega kwenye purukushani ya kuokoa maisha,kwahiyo sio kila mtu ndeziHivi unaanzaje? Ukisikia wanaofumaniwa wanachofanyiwa, kwangu hata damu kuzunguka haiwezi. Lakini kuna watu wanaendelea na mchezo huu, hawaogopi! Bodaboda mmoja alinisimulia hivi karibu kwamba "alishuhudia aliyefumaniwa (mwanaume) akifanyiwa kitu mbaya." Alisema wapambe wa mwenye mke walimtonya kwamba mzigo wake unalika gesti fulani. Alichokifanya mwenye mke (kwa maelezo ya bodaboda) alikwenda kutafuta wahuni wawili waliopinda akaongozana nao hadi kwenye hiyo gesti. Walipofika, wakawaweka chini ya ulinzi hao waliofumaniwa. Hawa wahuni wawili waliopinda wakamlawiti yule mwanaume mbele ya yule mtu wake aliyefumaniwa naye, alianza mmoja, kisha mwingine. Akasema walipomaliza wakachukua pikipiki wakampakia hadi nyumbani kwake. Walipofika, walimkuta mkewe huyo bwana wakamwambia mumeo tumemfumania na mke wa mtu na sisi tumemlawiti na tulipomaliza, tumeona tumlete hadi nyumbani, na asirudie tena. Kisha wakaondoka. Aliyenisimulia akasema, ingawa na yeye alikuwa akichepuka chepuka na wake za watu, baada ya tukio hilo anafikiria aachane na mchezo huo kabisa. Imagine! Sasa ukienda na mke wa mtu na uka'recall' tukio kama hilo, damu itazunguka vizuri kweli?
Sawa. Lakini ni wangapi wanaochepuka na mke wa mtu wameweza kuwa washindi? Wengi wa wale niliosikia wamefumaniwa walipoteza maisha, walifanyiwa mambo yasiyostahili au walijeruhiwa vibaya sana.Kuna wahuni walitumwa na mwenye mke kumfanyizia jamaa lodge ...waligonga hodi kumtumia mhudumu wa lodge...jamaa alikua amepumzika ikabidi mwanamke akafungue mlango wahuni wakatimba ndani,jamaa akawahi kuchukua chuma chini ya mto...kabla hajavuta wahuni na mume wote nduki na mume alivunjika mguu na bega kwenye purukushani ya kuokoa maisha,kwahiyo sio kila mtu ndezi