Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila hayo maneno hayakulengwa kwako moja kwa moja. kiasi cha kuona haja ya kujibu.Acha maneno yako
Who is this guy ?View attachment 3059806
Mwamba anasubiri watu wake watoe ushuhuda
Endelea kujidanganya eti ndoa ni muungano takatifu.Kutembea na mke wa mtu ikiwa unajua ni mke wa mtu hiyo sio tamaa bali ubaradhuli usiokuwa na kifani.
Na mwanamke anaeruhusu kulalwa na mwanaume mwingine ikiwa yeye ni mke wa mtu basi huyo amepoteza sifa zote za kuwa mke wa mtu.
Ndoa ni muungano takatifu.
Wala usifikilie mpaka huko.Taifa hili Lina kazi kubwa sana isiyo na faida yoyote hata!!!
Ni mtazamo binafsi ndugu. Hukushurtishwa kuamini ninachoamini kama vile ambavyo sitohoji unachoamini wewe.Endelea kujifanganya eti ndoa ni muungano takatifu.
Daudi alikua anakula wake za watu hadi kuua waume zao na bado Mungu alisema ukimgusa Daudi ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake.
Ibrahim alikua anakula house girl wake mchana kweupe na michepuko mingine bila shida yoyote na ndie mungu anaempenda.
Achana na kuhangaika na hadithi za kidini.
Mke wa mtu akijileta.....nachukua naweka waaaaaa.....Wala usifikilie mpaka huko.
-Kuna senarios,za matukio ya kweli yatakusaidia kujua uharisia wa ulimwengu uliokuzunguuka.
-Haitakaa itokee,wenzio waishi kama unavyoishi,unavyofikilia au unavyotaka. Kuna wakati wewe utaona umekaa pazuri,kumbe wenzio wanaona umepotea njia.
-kuna chai pia. Lazima ziwepo,
Kuna mengi sana. Unaloona upuuzi,kuna mwingine ndo linamfanya aione siku au aweke chochote mdomoni. Unadhani kina min -me na raraa reree ni wajinga kulike kila post humu?
Dah, yani mwisho wa stori yako,nimecheka mpaka basi. Una phd ya ujinga🤣🤣🤣🤣Mwaka jana Kuna demu alikuwa anaishi mtaani kwetu ila mume wake alikuwa Hamjali kivile ila mahitaji muhimu kama chakula, mavazi na Mahitaji yake anampa.
Ila alikuwa anamdharau sana, analewa sana akifika home haongei nae wala hampi muda kumsikiliza.
Demu nilikutana nae kwenye kiduka fulani hivi, kuna story nilikuwa nawasimulia akapenda maongezi yangu akawa kila akikutana na mimi ananikonyeza na kujichekesha, Siku moja akanipa namba ayke ikawa ndio daily ananisimulia mambo yake ya ndani mimi nikawa namtia Moyo tu.
Siku nikamtania kiutani anipe Tunda akakubali ila tukapime kwanza, hapo ndio ukawa mwanzo wa kumla yule demu, jamaa ake alikuwa anaweza kulala nje huko hata siku tatu mimi kazi yangu ilikuwa ni kumkaza.
Kuna biashara alikuwa anafanya hivyo akiaga anaenda kuchukua bidhaa sokoni anapitia kwanza maskani anakula chuma ya kutosha.
Nimeachana nae baada ya kuhamia Mkoa mwingine ila aliniahidi atanitembelea mwezi ujao niendeleze kazi nzuri
Naishukuru sana serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan kwa sababu hadi leo sijakamatwa wala mume wake hajashtuka, Hakika serikali inafanya kazi kubwa sana.
Kumbuka Mungu alimlipa Daudi kwa wanawake zake kumi kuliwa na mwanaume mmoja aitwaye Absalomu kwa siku moja.Endelea kujidanganya eti ndoa ni muungano takatifu.
Daudi alikua anakula wake za watu hadi kuua waume zao na bado Mungu alisema ukimgusa Daudi ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake.
Ibrahim alikua anakula house girl wake mchana kweupe na michepuko mingine bila shida yoyote na ndie mungu anaempenda.
Achana na kuhangaika na hadithi za kidini. Mke wa mtu akija kwako kutafta huduma ya kimwili mpe, wanawake wanapitia mengi inawezekana ndani mume hajampa mwezi ama hata miezi.
kwahiyo shetani ndo amejazia misuli hivyooView attachment 3059806
Mwamba anasubiri watu wake watoe ushuhuda