- Thread starter
- #81
Ndo jiulize eti mtu anaenda kuleta vurugu gesti. Unadhalilika,hela unatoa wahuni wanakula,mwanamke anatoloka anaenda kumuuguza mtu wake mliomfeshehesha,lakini hamuachi. Wangapi wanaishi u sababu wamezaliana na hawana mapenzi? Hunipendi,poa. Kama nguvu ya kuachana huna,kubali matokeo siku zisonge.Ukiona Mke wa mtu anasex na mtu mwingine fahamu kwamba ni mwanamke mwenyewe ameamua kufanya hivyo, tena kwa hiari yake mwenyewe.
Wengine ataaga anaenda kumuona mgonjwa,kumbe anaenda kutibu genye. Analeta na wewe unapalamia. Waliolewa wa zamani,siyo wa siku hizi.