Ilipaswa Rais Samia leo aahirishe shamrashamra za Independence day

Ilipaswa Rais Samia leo aahirishe shamrashamra za Independence day

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Sijui kwa kweli ila ni Aibu.
Achilia mbali majonzi tulio nayo Hanang...
Hali ya Miundo mbinu sehemu mbalimbali nchi..
Kukatika kwa umeme kusiko koma.

Hali ni mbaya mno. Tunaendaje sherekea. !?
IMG-20231209-WA0010.jpg

Picha la kutisha..kama CYBORG....😱😱
 
Sijui kwa kweli ila ni Aibu.
Achilia mbali majonzi tulio nayo Hanang...
Hali ya Miundo mbinu sehemu mbalimbali nchi..
Kukatika kwa umeme kusiko koma.

Hali ni mbaya mno. Tunaendaje sherekea. !?
View attachment 2837209
Picha la kutisha..kama CYBORG....😱😱
Tunasherehekea uhuru Gani wakati tunaongozwa na matapeli tu. Tena mungu yachukue yote haya
 
Uhuru wa Tanganyika siyo kama Sherehe ya ndoa kwamba unaweza kuifuta utakavyo
Naunga mkono hoja
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.

Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.

Paskali

Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya Uhuru na Jamhuri, nikiendelea kusisitiza, kumbukumbu ndio kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho ni maadhimmisho ya uhuru wa Tanzania. Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
P
 
Nimependa bango la barabarani kwenye picha iliyoambatanishwa kwenye uzi huu.

Anyway.
Tofauti ya Magufuli na Marais wengine ni vitu kama hivi, the man was not perfect, but he always pushed a winning chess.

RIP Magufuli.
Mpiga picha yuko makini...😂😂
 
Back
Top Bottom