data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Kwasababu CCM imejaa ujinga, kulogana, kuogopana, kutoambiana ukweli, kuishi kinafiki na kishirikina, kumuogopa mwenyekiti ambaye ni mpuuzi tu nchi hii si yake wala, kukubali kutoambiana ukweli No Mara Waa!
Aisee CHADEMA ni chachandu fulani hivi ktk siasa za sasa za Nchi. Na LISSU, LISSU, LISSU...
TUVUSHE.
CCM haiji fika hizi level mlizofika.
Mbowe Staafu kwa heshima.
Aisee CHADEMA ni chachandu fulani hivi ktk siasa za sasa za Nchi. Na LISSU, LISSU, LISSU...
TUVUSHE.
CCM haiji fika hizi level mlizofika.
Mbowe Staafu kwa heshima.