Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu laki tisa lakini cha ajabu vifo vikakoma hima! Haya ni maajabu ya mzungu kwakweli! Ni hiyo chanzo tuuu au ?