Iliyofungwa leo na Uganda siyo Taifa stars, ni simba yenye wachezaji tisa

Sasa ulitaka Mayele acheze ndio ujue ni Taifa stars??? Mnapokua mnapiga mayowe ya Ki Aziz...Mayelee ..Mabangalaaa mjue hao sio Watz
 
Hata kama sikupata wasaa wa kuangalia hiyo mechi, naomba tu niinge mkono hoja kwa 100%

Hakika simba inastahili pongezi kwa kutoa wachezaji 9! Lakiki pia kwa kufungwa kwenye mechi ya jana. Maana uwingi wao ulikuwa na tija gani sasa kama wameshindwa kulipigania Taifa lao?

Halafu nasikia tu juu juu, eti mchezaji wao Mohamed Hussein ndiye aliyechomesha! Aishi Manula naye kama mlinda mlango kutokea simba hiyo hiyo, akakubali mpira uingie wavuni!!
 
Hayo ndiyo yamesababisha tufungwe leo?
Ndio sasa we unadhani kulikuwa na haja gani ya kuwaita wachezaji national team wakati hata kwenye club zao hawachezi.
 
Kibwana, Dickson job, mwamnyeto, Farid Musa, sure boy na Faisal wamehamia.msimbazi lini halafu mkiambiwa yanga wenye akili ni wawili mnabisha
 
Bangi tu...moderator taka taka kama hizi uwe una delete zina jaza jf tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…