Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama sikupata wasaa wa kuangalia hiyo mechi, naomba tu niinge mkono hoja kwa 100%Washabiki wa Tanzania foolish,hasa wa makolo.
Hivi karibuni kuna shabiki wa simba alipost bandiko akiisifia timu ya simba kwamba ni timu bora kuliko zingine kwakuwa inawachezaji Tisa ndani ya Stars.
Ndiyo maana nasema iliyofungwa leo ni simba siyo timu ya Taifa.
Wakati mwingine muwe mnaficha upumbavu wenu ili muonekane werevu nga kidogo.
TANZANIA NI MOJA NA WATANZANIA NI WAMOJA
Yule na mwenzake Kapombe kwa sasa ni mapazia tu. Ni wakati sasa kuanza kuwaamini damu changa.Sifa ziende kwa tshabalala kajituma sana hadi Uganda wakapata goli 1
Ndio sasa we unadhani kulikuwa na haja gani ya kuwaita wachezaji national team wakati hata kwenye club zao hawachezi.Hayo ndiyo yamesababisha tufungwe leo?