Iliyofungwa leo na Uganda siyo Taifa stars, ni simba yenye wachezaji tisa

Iliyofungwa leo na Uganda siyo Taifa stars, ni simba yenye wachezaji tisa

kambale mnene

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
271
Reaction score
197
Washabiki wa Tanzania foolish,hasa wa makolo.
Hivi karibuni kuna shabiki wa simba alipost bandiko akiisifia timu ya simba kwamba ni timu bora kuliko zingine kwakuwa inawachezaji Tisa ndani ya Stars.

Ndiyo maana nasema iliyofungwa leo ni simba siyo timu ya Taifa.
Wakati mwingine muwe mnaficha upumbavu wenu ili muonekane werevu nga kidogo.
TANZANIA NI MOJA NA WATANZANIA NI WAMOJA
 
Le Madame CEO
IMG_20220828_185914.jpg
 
Kufungwa ni kufungwa tu, lawama ni sehemu ya kuonesha kutoridhishwa na matokeo, ni sawa!

Spain wanabeba WC, first eleven ilikuwa na wachezaji wa Real Madrid na Barcelona(4) tu.
 
Back
Top Bottom