Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
View attachment 1976146
Raisi alikuwa wa hovyo haijawahi tokea