Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
View attachment 1976146
hapa umesomeka vyema ChiefYule aliyezua gumzo wakati huu, kimsingi hili panga la haki likisema lisiangalie nani na nani katika kile chama pendwa hakuna kiongozi yoyote atakaye epuka makali ya panga hili. Kiufupi tu namaanisha upande huo hakuna wakumnyooshea mwenzie kidole wote wachafu tu.
Ubaruku ni kijiji?aisee Sasa huo ni mji au Kijiji duuu Huu wazimu aisee Chato ina tofauti Gani na Kijiji Cha Ubaruku Mbarali aiseee!
Yaaani huo ndio mji wanaotuambia una international airport?
Ndio ni Kijiji ila ndio makao makuu ya kata ya Ubaruku inshort ni Kijiji kilichochangamka Sana ukifika pana vibe kama mji mdogo hivi!Ubaruku ni kijiji?
Ni kweli mm ndio napoishi tatzo joto sana ila kuchangamka hadi mavunoNdio ni Kijiji ila ndio makao makuu ya kata ya Ubaruku inshort ni Kijiji kilichochangamka Sana ukifika pana vibe kama mji mdogo hivi!