PreGE2025 Iliyokuwa ofisi ya CHADEMA Mara, sasa ni ofisi ya CHAUMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).

Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.

Bendera ya CHAUMMA katika ofisi hiyo imepandishwa leo mjini Musoma na Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe na kushuhudiwa na viongozi wengine wa chama hicho.

Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.

IMG_5074.jpeg
Credit: Nipashe Digital
 
doooh mpaka uchaguzi uishe ofisi itabaki jamii forum
 
Hivi mali za chadema ziko salama kiasi Gani? Tumeshuhudia account ya you tube ya chadema ikitumiwa na kina john MREMA, chadema wawe makini Sana na mali za chama kwa sasa
 
Back
Top Bottom