PreGE2025 Iliyokuwa ofisi ya CHADEMA Mara, sasa ni ofisi ya CHAUMMA

PreGE2025 Iliyokuwa ofisi ya CHADEMA Mara, sasa ni ofisi ya CHAUMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haya mambo msajili wa vyama atajifanya kama hayaoni
 
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).

Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.

Bendera ya CHAUMMA katika ofisi hiyo imepandishwa leo mjini Musoma na Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe na kushuhudiwa na viongozi wengine wa chama hicho.

Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.

Credit: Nipashe Digital
Chadema itakua inaweweseka sana aise dah!🐒
 
Hata CUF ya Lipumba yaliwakuta. Ofisi nyingi zoligeuka kuwa za ACT.
 
sikweli chadema kupitia mwenyekiti mkoa wa mara mwl chacha heche ,amekanusha hilo , na eneo hilo chadema haijawahi miliki ofisi
 
Back
Top Bottom