Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uongo utakusaidia nini?Hatari sana.
Lissu hadi atoke mahabusu atakuta manyoya.
Lisu siyo mwenyekiti wa kwanza wa chadema wewe. Uachage ujinga!Hatari sana.
Lissu hadi atoke mahabusu atakuta manyoya.
Unajibu uzi gani? Mi sijaandika hivi. Au ndio kuchanganyikiwa.Lisu siyo mwenyekiti wa kwanza wa chadema wewe. Uachage ujinga!
Uongo gani sasa? Kwa sasa chama kinaongozwa na kaimu. Huko pemba wanaenda pia kuifua kabisa na kupandisha bendela za CHAUMA.Uongo utakusaidia nini?
doooh mpaka uchaguzi uishe ofisi itabaki jamii forumOfisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.
Bendera ya CHAUMMA katika ofisi hiyo imepandishwa leo mjini Musoma na Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe na kushuhudiwa na viongozi wengine wa chama hicho.
Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.
Credit: Nipashe Digital
Hatari sana.
Lissu hadi atoke mahabusu atakuta manyoya.
Hivi mali za chadema ziko salama kiasi Gani? Tumeshuhudia account ya you tube ya chadema ikitumiwa na kina john MREMA, chadema wawe makini Sana na mali za chama kwa sasaOfisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.
Bendera ya CHAUMMA katika ofisi hiyo imepandishwa leo mjini Musoma na Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe na kushuhudiwa na viongozi wengine wa chama hicho.
Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.
Credit: Nipashe Digital
By the time anatoka atakuta chama kiko pure, makapi yote yameshajiengua yenyeweHatari sana.
Lissu hadi atoke mahabusu atakuta manyoya.
Hiyo ofisi ilikuwa ya chadema au ya mwanachadema binafsi?Nchi ya demokrasia hii