navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu.
Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku.
Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi kukata na nisjue kipi chakufanya mpaka saizii.
Najua hii sio new experience kwa wengi wetu, jaribu kushare uliwezaje ku copy mazingira kwa uharaka na kuacha kuwaza sana sehemu ulipotoka na kuona kama ulifanya maamuzi yasio sahihi kuhama.!
Pia Soma: Mwanza mshikaji wenu nimetia mguu, nipeni ramani
Pia Soma: Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10