Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

mi namuona kama ni age gooo yani 27+ sidhani kama atapita hata 10 bora ila kila la heri kwake
 
Ila kazuri jamani mweee. Ningekua na uchawi wa kizungu ninge mfukuzia.
 
Mwanza mmetuaibisha aisee. Ila kwa minajili ya kibiashara lazima apewe mtu wa kwenu hukooo
 
Kumwoa bure ni bure. Kumtuza baada ya kumwoa ni bure pia?
Nani kakwambia siwezi kumtunza mtu alieshindwa kuwa miss Tanzania?mtoto chini ya miaka ishirini asie na kazi ya ajabu ana maajabu gani mpaka nishindwe kumtunza?Waliogombea toka 1995 ni wengi na asilimia 95 walishaolewa na wanatunzwa bila makeke mkuu.
 
Ahahaaaaa kumbe kuna sheikh yahaya feki huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaaah acha tu babu na leo aje alimpigia promo mtu wake ata kwenye top ten ajaingia
 
Back
Top Bottom