Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Tuonyeshe na hao washiriki wengine ili kwenye kusema hoja hii imeungwa mkono tujibu Ndiooooo au Hapanaaa.
 
Mbona wa kawaida sana...yani hata sijasisimuka...wa kawaida sana
 
Promo za kitoto, huyo ni wa Geita sehemu gani mbona sijawahi kumuona?
 
Huyu kwao ni mwabasabi, aliwahi kuishi nyamalembo,katundu, lukirini ,ihayabuyaga, kagera, nyankumbu bukombe hotel, nyamigota na sasa ni mkazi wa kumi na nne kambarage.
 
Kote huko katika umri huu mdogo alikuwa anafanya biashara ya umachinga?
 
Back
Top Bottom