Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Sionagi hata unuhimu wa hawa miss zaidcya scandal chafuu tuu
 
Alishiriki Mashindano na kufanikiwa kushinda Red Miss Kagera 2013 akaja kuangushwa vibaya baadae. Ngoja nikuwekee picha zake.
Kumbe toka 2012 anashiriki tu? Daah inaruhusiwa kushiriki kila mwaka?
 
Alishiriki Mashindano na kufanikiwa kushinda Red Miss Kagera 2013 akaja kuangushwa vibaya baadae. Ngoja nikuwekee picha zake.
Dah! kweli JF haitakagi ujinga, miss amerisiti bila kujua kuna mahali kumbukumbu hazifutiki, maskini weeee akiiona hii tu tayari amepunguza kujiamini na anaweza anguka vibaya sana, .
 
Back
Top Bottom