Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe kuwa mkubwaaa ufaidiiiu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wakubwa wanafaidi jamani
Jmos 29/10/2016Hivi final Lyn?
Mamiss wa Nywele za bandia, kucha, kope na lipstick!!! Kina Theresa shayo na Flora Kambona walishinda Umiss kwa Uzuri wa asili siyo Umiss kwa Urembo bandia. Hata wazee wakiweka makeup za kuficha makunyanzi wanaonekana Warembo!Wakuu, habari zenu,
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,
Huyu miss lake zone
Ni lazima awe miss Tanzania
La sivyo mtu atatumbuliwa
Ovaaaaa
View attachment 424745
View attachment 424747
View attachment 424749
Una matatizo ya machoMbona hana mvuto?
kweli miss tz kwishney ingekua kipindi chake apa kila sehemu habari kuhusu miss tz babu yake illuminata am sorry [emoji137]Jmos 29/10/2016
Huyu kwao ni mwabasabi, aliwahi kuishi nyamalembo,katundu, lukirini ,ihayabuyaga, kagera, nyankumbu bukombe hotel, nyamigota na sasa ni mkazi wa kumi na nne kambarage.Promo za kitoto, huyo ni wa Geita sehemu gani mbona sijawahi kumuona?
Huyu kwao ni mwabasabi, aliwahi kuishi nyamalembo,katundu, lukirini ,ihayabuyaga, kagera, nyankumbu bukombe hotel, nyamigota na sasa ni mkazi wa kumi na nne kambarage.