Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Kwahiyo wewe unawajua wana GEITA woooote?Promo za kitoto, huyo ni wa Geita sehemu gani mbona sijawahi kumuona?
Subiri kidogoooooYani huyu kiperete awe miss Tanzania?
Karibu ILUMINATAAAAKumbe miss Tanzania bado inaendelea
Hela unayo?Akishindwa nipo tayari kujitolea kumpa pole ya kumuoa bure.
<<<daah ! Safi saaaaaaaaaana Umekula Ngapi ya PROMO mkuuuuuuuuu>>>
AhsanteKaribu ILUMINATAAAA
Kumuoa mwanamke bure kunahitaji hela kiasi gani?Hela unayo?
Acha dharau
Kumwoa bure ni bure. Kumtuza baada ya kumwoa ni bure pia?Kumuoa mwanamke bure kunahitaji hela kiasi gani?
Nani kakwambia siwezi kumtunza mtu alieshindwa kuwa miss Tanzania?mtoto chini ya miaka ishirini asie na kazi ya ajabu ana maajabu gani mpaka nishindwe kumtunza?Waliogombea toka 1995 ni wengi na asilimia 95 walishaolewa na wanatunzwa bila makeke mkuu.Kumwoa bure ni bure. Kumtuza baada ya kumwoa ni bure pia?
Wa 19 kati ya 20Jamani huyu mrembo kaishia namba ngapi jana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wa 19 kati ya 20
Ahahaaaaa kumbe kuna sheikh yahaya feki huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]babu yake illuminata vipi uje na leo si kwa promo ulilomfanyia na kashindwa
hahahaaah acha tu babu na leo aje alimpigia promo mtu wake ata kwenye top ten ajaingiaAhahaaaaa kumbe kuna sheikh yahaya feki huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]