Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
-
- #61
Kwani umeambia miss Tanzania ni wakuchoma mishikaki?Mm mwanamke ambae hana nyama hivi wanini maana pacha tu hapo sauwa na mkono wangu!!!! Sioni pakushika
Sisi watu wa KANDA maarumu hatunaga L.Razima ndio nini
Mpaka 2020 watatukomaNi zamu ya kanda ya ziwa
Kwani nawe mkuu unashiriki nini???? Mbona unamkandia?Yan kelele zote izo ndio umeleta picha yuko wa kawaida ivi
Wivu wa keki huoDuuuh huyu kanda ya ziwa kwel.. Hafai hata miss tandale
Wakawaida sana huyo miss
Wa maandish yako[emoji1] [emoji1]Wewe ni mwalimu wa mwandiko?
Labda mzur kwake!Yan kelele zote izo ndio umeleta picha yuko wa kawaida ivi
Dharauuuuuumpododo upo? kama anao atashinda
Illuminatha ndo wewe unajipa promo onlyAu na wewe ni mshiriki?
Si mzuri sana ila anamvuto wa wastani kwa kuwa ni mjukuu wa juma ibnu maharage basi atashindaHuyu mtoto ukimwona live unajipiga kofi
Weka picha yako nawe tuwaringanisheeeeWakawaida sana huyo miss
Ndio maana yake......Na wewe kukoment tu ushaongeza promo
mh mbona mm flatscreen kumbe unapenda chura eenh nimekufumampododo upo? kama anao atashinda
Asante na karibu tena.Wa maandish yako[emoji1] [emoji1]
Huyo ni MISS LAKE ZONE then unasema mzuri kwangu tu?Labda mzur kwake!