Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #41
Bado yapooooo mkuuu.Hivi bado Kuna mambo ya u Miss yanaendelea kufanyika ktk njii hii
OVA
Mwaka huu yanafanyika MWANZA na mshindi anatoka KANDA YA ZIWAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado yapooooo mkuuu.Hivi bado Kuna mambo ya u Miss yanaendelea kufanyika ktk njii hii
OVA
We dare to talk openlyutatumbuliwa wewe maana nasikia eti ni .......wako
IPO kimazoea kama sijakoseahivi miss TANZANIA ipo kisheria??
Amekula samaki wa kutosha? Mambo upstairs.
Huyu mtoto ukimwona live unajipiga kofiMacho ya "Ghoriii" kwangu chumban simwachi peke yake hata ka baki ni sh 1
Tatizo pichaaa. Kesho nenda Mwanza kamwone liveKwa umiss hapana ila kimgegedo yuko vyema sana!
Roho mbaya tuuuu[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
Iwavyo na iwee but huyu ndo MISS TANZANIAAtashinda kama yupo tayar kujitoa utu
Sijajua but mkoa ni Geita so wanaweza kuwa na unduguAna undugu na Jesca?
Huyu naye ni mshiriki so anakandia. UsimwaminiKumbe!
Kuhusu kichwani hayuko vizuri saaaaana hasa ile lugha ilokuja na meli. Si unajua inavotuzingua WATZ hasahasa watu kutoka Geita?Yaani wakawaida mno hata top 20 hagusi. Halafu siku hizi na ubongo unachangia. Usikute naye anaringia sura huku kichwani tope.
Mtoto mzuri so masikharaaaaAmekula samaki wa kutosha? Mambo upstairs.
Kwanini mkuuuuu? Au utashinda wewe?Hapana hawezi shinda huyo