Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #81
Yule naye anajishaua mnoooooUmemuona Maureen Ayoub wa Kanda ya kaskazini?? Mtoto mzuri with brain very intelligent girl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule naye anajishaua mnoooooUmemuona Maureen Ayoub wa Kanda ya kaskazini?? Mtoto mzuri with brain very intelligent girl
Kama umelijua hilo basi we ni GeniusSi mzuri sana ila anamvuto wa wastani kwa kuwa ni mjukuu wa juma ibnu maharage basi atashinda
Kwahyo huyu ni mgonjwa tayar tokana na utafiti
Hawezi kuingia ata top 5.Anatoka Geita, kwetu Tanzania
Na wewe ni KANDA ya ZIWA?Ndio maana yake......
Mpododo kila mwanamke anao. Chura ni majariwa au mautundu ya mchina.mh mbona mm flatscreen kumbe unapenda chura eenh nimekufuma
Kwani Mimi mshiriki wa miss tzii mi Niko vzuri sana sio huyo adunje anagombea umiss mfupi ka kistuliWeka picha yako nawe tuwaringanisheeee
Wewe umeona poa tu?Hiyo pua ni ya kwake peke yake au wako wawili?
Mbona unalalama na Dada ako? Sisi ndio tunauwezo wa kumtumia wewe kaka kimya si Dada ako?Wewe umeona poa tu?
We ni kisu cha kumenyea viazi
So
Cha
Kufanyia mkeketoooo
Dadangu tena???????Mbona unalalama na Dada ako? Sisi ndio tunauwezo wa kumtumia wewe kaka kimya si Dada ako?
Kagera tena?????? Huyu umemfananisha. Ni wa GEITAHii ndo mara yake ya mwisho maana baada ya kagera miaka kadhaa iliopita alibuma, sasa hivi mnafosi game
..
Kawaida tu. Tushajua MISS TANZANIAMbona kawaida tuu!
Nmemwona, vp utakua judge sku hiyo??Asante na karibu tena.
Vipi mrembo umemwona?
Weka picha yako nawe tuwaringanisheeee
SijakuelewaaaKwahyo huyu ni mgonjwa tayar tokana na utafiti
Tar 29 sio mbaliii. TubetHawezi kuingia ata top 5.