Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

Mm mwanamke ambae hana nyama hivi wanini maana pacha tu hapo sauwa na mkono wangu!!!! Sioni pakushika
 
Yan kelele zote izo ndio umeleta picha yuko wa kawaida ivi
 
Yaani wakawaida mno hata top 20 hagusi. Halafu siku hizi na ubongo unachangia. Usikute naye anaringia sura huku kichwani tope.
Kuhusu kichwani hayuko vizuri saaaaana hasa ile lugha ilokuja na meli. Si unajua inavotuzingua WATZ hasahasa watu kutoka Geita?
Ref: Baba Jeka
 
Back
Top Bottom