ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Shirika la Kazi Duniani ILO limesema zaidi ya nusu milioni ya Waafghani wamepoteza kazi zao baada ya Taliban kuchukua madaraka mwaka uliopita.

Katika ripoti mpya iliyotolewa leo, shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema idadi ya ajira zilizopotea huenda zikafikia laki tisa ifikiapo katikati ya mwaka 2022.

Ramin Behzad ambaye ni mshirikishi mwandamizi wa ILO amesema hali ni mbaya mno Afghanistan na msaada wa haraka kwa ajili ya kufufua ajira unahitajika.

Mamia ya Waafghani hasa wanajeshi, majaji na wanawake waliachishwa kazi baada ya Taliban kuchukua mamlaka baada ya majeshi ya kimataifa kuondoka nchini humo mnamo Agosti mwaka uliopita.
 
Mbona kidogo sasa nayo imekuwa news? Karume pale ajira zilizopotea ni zaidi ya Afghanstan
 
Sijui wale wa Taliban wana akili gani vichwani mwao.

Maana hua naona matamko yao ni kama vile watu wasio na akili kabisa.

Sijuo lakini wanasema wanfuata mafundisho ya dini yao, sijui kama kweli Mungu wao anaagiza hivyo basi ikiwa ndio hivyo na yeye atakua ni zero brain kabisa.
 
Tatizo la hawa wenye dini ya kufirana wanapenda sana kuingilia mambo ya watu,
Kwani na wao mungu wao ndio amewaambia wamwagane mavi?
 
Back
Top Bottom