Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Muuza Viatu akimaliza kuoga asubuhi kujitayarisha kwenda shule alikuwa akipaka mafuta miguu yake na mikono isipauke akawa ule weusi wake unang'ara kama Mjaluo.Kwa nin mlimwita "Jaluo"???
Jabulani,Hongera maktaba imeshiba vitabu
Nkanini,Asalaam, mtoa hoja hii maktaba yako unaruhusu kutembelewa?,au wapi unaweza kupata baadhi ya vitabu vyako?
Shukraani mno mkuu,nitatembelea hizo sehemu ulizotaja, InshaAllahNkanini,
Hapa ni nyumbani kwangu ukija kama kunisalimia utaiona lakini si maktaba ya watu kusoma au kuazima vitabu.
Vitabu vyangu vinpatikana: Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na KIchangani.
Definitely Mtambani ndio karibu mno na mimiNkanini,
Hapa ni nyumbani kwangu ukija kama kunisalimia utaiona lakini si maktaba ya watu kusoma au kuazima vitabu.
Vitabu vyangu vinpatikana: Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na KIchangani.
Hata mpira uliotumika kombe la dunia 2010 (WOZA 2010) uliitwa JABULANI.Jabulani,
Kuna hotel niliiona Mbabane 1990 inaitwa Jabulani.
Ahsante.
Kwanini unaweka vitabu vyako maduka ya Misikitini tu? Huoni haja kaweka na kwenye maktaba za Makanisa Kama St. Joseph.Nkanini,
Hapa ni nyumbani kwangu ukija kama kunisalimia utaiona lakini si maktaba ya watu kusoma au kuazima vitabu.
Vitabu vyangu vinpatikana: Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na KIchangani.
Why mkuu umpangie mwanadamu mwenzako maisha yake?,ni uamuzi wake na heshimu hilo, tunga vitabu vyako na kaviweke huko hakuna atakaye kuuliza why umeviweka hapoKwanini unaweka vitabu vyako maduka ya Misikitini tu? Huoni haja kaweka na kwenye maktaba za Makanisa Kama St. Joseph.
The Apostle,Kwanini unaweka vitabu vyako maduka ya Misikitini tu? Huoni haja kaweka na kwenye maktaba za Makanisa Kama St. Joseph.
Bali...Hata mpira uliotumika kombe la dunia 2010 (WOZA 2010) uliitwa JABULANI.
Jabulani,
Kuna hotel niliiona Mbabane 1990 inaitwa Jabulani.
Ahsante.
Maalim Faiza,Kwa miaka mingi sasa nafanya tafiti ya maneno ya lugha tofauti na asili yake (linguistic anthropology).
Neno Jabulani maana yake ni furahini (rejoice) kwa zawadi ya Mungu, lipo katika Kiarabu pia ""Jibran" likimaanisha hivyohivyo.
Mfano mwengine wa wazulu "Chaka" Zulu, hilo neno "Chaka" ni Sheikh.
Kuna mwandishi mzuri sana wa zamani wa Kilebanon anaitwa Khalil Jibran, ukipata kazi zake huyo utafaidi sana kwa mtu anaependa kujisomea,, halafu akiandika Kiarabu na Kingereza kiasi. Kazi zake nyingi zimetafsiriwa kwa lugha gtofauti tofauti.
Nakushukuru piaBali...
Hili sikulijua.
Ahsante sana.
Povu linakutoka utafikiri umeulizwa wewe!Why mkuu umpangie mwanadamu mwenzako maisha yake?,ni uamuzi wake na heshimu hilo, tunga vitabu vyako na kaviweke huko hakuna atakaye kuuliza why umeviweka hapo
Yeah huyo ndiye Nkanini, hazunguki na ku sugar coat issue, naisema as its, sorry kama unapendelea comments za kisiasaPovu linakutoka utafikiri umeulizwa wewe!
Angalia mleta Uzi - mkongwe, Mzee wetu Mohamed Said ailvyojibu kistaarabu.