Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
KJ...Wewe ndo yupi kati ya hao wawili
Aliyevaa miwani ni Mohamed Said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KJ...Wewe ndo yupi kati ya hao wawili
Ndugu mwandishi nataka kuwa muuzaji wa kitabu chako,naomba muongozo.KJ...
Aliyevaa miwani ni Mohamed Said.
JS...Ndugu mwandishi nataka kuwa muuzaji wa kitabu chako,naomba muongozo.
Mwenye kitabu kajibu kistaarabu ila wewe kenge madoa umeharisha tuWhy mkuu umpangie mwanadamu mwenzako maisha yake?,ni uamuzi wake na heshimu hilo, tunga vitabu vyako na kaviweke huko hakuna atakaye kuuliza why umeviweka hapo
Vitabu vyako vitakuwa vimejaa uongo kama maongezi yako yalivyo Yaqiya na udini mtupu... Dini ya kina Hamas aka IsisNkanini,
Hapa ni nyumbani kwangu ukija kama kunisalimia utaiona lakini si maktaba ya watu kusoma au kuazima vitabu.
Vitabu vyangu vinpatikana: Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na KIchangani.
Mlaleo,Vitabu vyako vitakuwa vimejaa uongo kama maongezi yako yalivyo Yaqiya na udini mtupu... Dini ya kina Hamas aka Isis
Kina...Mtambani , lango la Jiji hapo upande upi
Ukiwa muongo kwenye Maongezi basi hata ukiandika kitabu utauweka tu ongo wako...Mlaleo,
Ungesoma kwanza kabla ya kushutumu.
Mlaleo...Ukiwa muongo kwenye Maongezi basi hata ukiandika kitabu utauweka tu ongo wako...
Kuna mtu Alisifia sana Dini ya Uislam akinitambia ni Dini ya haki imekataza mabaya n.k akiniambia nisome Koran... Nikakaa muda mrefu sana sasa majigambo yalipozidi nikaanza kuisoma nikagundua imejaa uongo mtupu na hamna haki kwa Wanawake,Inafundisha chuki ambayo hata wewe Mohamed Said umeishiba vya kutosha.. Pia kwa mtu Mweusi Uislam hauna nafasi kwake according to Hadithi ni motoni tu nilishangaa why Mtu mweusi anaukubali Uislam? huwa nakumbuka yule Mama wa Mbagala alipokuwa akihojiwa analia bila Machozi kuwa Koran kitabu cha Mnyezi Mungu kimekojolewa na Mtoto ambaye masikini alikuwa anabishana na mtoto mwenzake kuwa akiikojolea Koran atageuka chizi sijui Dodo mkristo akaona uongo akakojoa bila kugeuka chizi.. Dogo Muislam alipoona kaumbuka kwa uongo akaenda kusema eti Wislam wakalipuka hadi wakachoma Kanisa... this Dini yenu iacheni plz. kha!
Nayoongea nazijua Aya na Hadithi so ni Ukweli Mtupu atakayependa nitaweka Aya.. Uislam umeruhusu Kudanganya so Sikushangai Mzee Mo