Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kirefu chake niniNi LL.B msomi sio LLB😀😀wasomi bhn
Bora umenisaidia 😂😂😂Ni LL.B msomi sio LLB😀😀wasomi bhn
Alipaswa aandike bachelor's degree in laws.HAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
HAPANA, Hakuna course inaitwa hivo pia.Alipaswa aandike bachelor's degree in laws.
Ki grammar nazungumzia katika kujielezea kawaida.HAPANA, Hakuna course inaitwa hivo pia.
Ila kuna BACHELOR OF LAWS
Anataka kazi wakati na hajui hata alichosomea tutafungwa mpaka tukome tushukuru uwakili hanaHAKUNA Course inaitwa Bachelor Degree of Laws.
Nenda kaangalie tena kwenye Cheti chako.
Mkuu hata kozi ulosoma hujui kuiandika tutakuamin ukasimamie haki za watu kweli??
Degree zinazoana na astashahada ndo changamoto yakeKiuhalisia jamaa kajitahidi ku draft nondo kama msomi vitu vidogo dogo vya kukosea always vipogo tu
AMEN 🙏Kila la kheri mkuu
Ahsante sana Mr perfect man. 🙏Anataka kazi wakati na hajui hata alichosomea tutafungwa mpaka tukome tushukuru uwakili hana
In life you have to dream big, ukipata kidogo unashukuru Mungu.Una jipakulia minyama una chagua International kwenye mambo mazuri kheri wewe but au basi tu
AMEN 🙏I see a lot of negativity
God bless you utapata the right place
Amina 🙏Mungu Yupo ,,All The Best Kamanda
Nashukuru sana ndugu yangu.Kila la kheri mkuu
Mungu akufanikishe ndugu.Nashukuru sana ndugu yangu.