kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
usishukuru kinafiki ,uwe makini kwenye kuandika vitu ,kabla ya kupost mana ili usijejishushia creditA
Ahsante sana Mr perfect man. 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usishukuru kinafiki ,uwe makini kwenye kuandika vitu ,kabla ya kupost mana ili usijejishushia creditA
Ahsante sana Mr perfect man. 🙏
AMEN 🙏Mungu akufanikishe ndugu.
Usikate tamaa,usiache kuomba ,usiache kutoa sadaka.
Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
What I know, mimi ni mtu mdogo sana sina credit yoyote kwa jamii, so I don't think kama naweza kushuka ilihali bado sijapanda.usishukuru kinafiki ,uwe makini kwenye kuandika vitu ,kabla ya kupost mana ili usijejishushia credit
Nmesoma kwa umakini sana, helpfulMungu akufanikishe, namna nzuri ya kupata kazi (unbeatable)
1. Amini utapata kazi nzuri.
2. Achana na maneno ya vijiwe.
3. Amini unaweza pata kazi bila God F.
4. Amini Mungu ndo God father wako.
5. Draft email na pdf ya vyeti.
5. Kila siku search hayo mashirika unayopendu forward application hata Kama hawa hawajatangaza kazi.
6. Tuma email 20 kwa siku, Chagua email za ma MD na sio info and secretaries!
7. Kabla ujatuma email sema Sala na soma Zaburi ya 23.
8. Weka nadhiri kwa Mungu ya shukrani ukipata kazi.
9. Usiende kwa Mwamposa wala kuamini nabii yeyote nchi hii.
10. Amini unaweza Mwenyewe kumwomba Mungu na akakutendea muujiza.