Mungu akufanikishe, namna nzuri ya kupata kazi (unbeatable)
1. Amini utapata kazi nzuri.
2. Achana na maneno ya vijiwe.
3. Amini unaweza pata kazi bila God F.
4. Amini Mungu ndo God father wako.
5. Draft email na pdf ya vyeti.
5. Kila siku search hayo mashirika unayopendu forward application hata Kama hawa hawajatangaza kazi.
6. Tuma email 20 kwa siku, Chagua email za ma MD na sio info and secretaries!
7. Kabla ujatuma email sema Sala na soma Zaburi ya 23.
8. Weka nadhiri kwa Mungu ya shukrani ukipata kazi.
9. Usiende kwa Mwamposa wala kuamini nabii yeyote nchi hii.
10. Amini unaweza Mwenyewe kumwomba Mungu na akakutendea muujiza.