I'm back.. Niliwamiss sana sana

I'm back.. Niliwamiss sana sana

Habari wana Jf,
Niliwamiss sana sana.
Ninatumaini wote wazima kabisa...

Mimi Nina endelea vizuri wana jf,kwa kweli ninashukuru sana kwa maombi yenu since June mpaka September nilikuwa ninauguza majeraha baada ya kupata ajali,iliyopelekea damage ndani ya kichwa changu,but now Nina endelea vizuri. Nimeruhusiwa hata kutumia simu japo sio kwa muda mrefu lakini naweza kuwa naingia jf kila siku bila kukosa[emoji2] [emoji2] [emoji2] .

To great thinkers,
Nawashukuru kwa maombi yenu,na salamu zenu nyingi nilikuwa nazipata kupitia rafiki yangu kipenzi Maserati. Zaidi ya shukrani,napenda kuwaambia nawapenda...

Special thanks to
Maserati you are my sister now,sio rafiki tena. Ulikuwa nami bega kwa bega muda wote niliokuwa napigania hali yangu ya afya.
Saint Ivuga na mdogo wetu C..

I'm back guys... Let's keep chatting.
Mungu azid kukujalia Afya njema ya ROHO ,AKILI&MWILI...

_______karibu chattings_____[emoji6]
 
We Maserati wewe. Huyo ndio kaanzisha,kwani mi Na wewe tuna ugomvi shoga angu ??
teh teh teh relato Mungu anakuona, ukimaliza pishi la ugali,shurti la kwanza usafishe mwiko,naona ulijisahau,tiiii Maserati katukuta. Hahaha mie simoooooo
 
Back
Top Bottom